hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahahaa mkuu inamaana huwa haufanyi man cure na scrub...aaahhh wapi "" mahondaw angekuwa ameshkukimbia...maana uso wako ungekuwa unafanana na yuda escariot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa mkuu inamaana huwa haufanyi man cure na scrub...aaahhh wapi "" mahondaw angekuwa ameshkukimbia...maana uso wako ungekuwa unafanana na yuda escariot
MariooooNdo Wale wanaume wanapenda walishwe na wadada
TeeeeeheTulia wewe.... Tafuta pesa tumia pesa ukinidisi umenikubali... Mamaeee [emoji23]
Shemeji eenhee shemeji, shemeji eeenhe.... ( in aslay voice ) [emoji23] [emoji23]Teeeeehe
acha uwongo...hahaa
Ndio zako shem eeh?Kumekuchaa
Zipi?Ndio zako shem eeh?
Kuedit pichaZipi?
Hahaha mimi nina picha 3 tu kwenye simuKuedit picha
Wanaiga kutoka kwa watu wa dar sio?Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
Duh! HongeraHahaha mimi nina picha 3 tu kwenye simu
fid q amepiga scrub? ila kama ni kwaajili ya matibabu sio kama za kawaidaLakin scrub hiyohiyo tunayoiona mbaya imewasaidia hata watu wenye matatizo ya ngozi kama Fid Q kurekebisha hata muonekano wake. Basically kwa kuwa wabongo tumeshazoea sana kuwa negative na baadhi ya mambo hili tutaliona sio jambo zuri lakin tukae tukijua hakuna chenye faida bila hasara
Ndio chief fid Q alipiga scrub maana uso wake ulikuwa una mafuta mengi na machunusi. Scrub ipo kwa ajili ya kurekebisha ngozi yenye kasoro isipokuwa sis wanadamu tunabadili matumizifid q amepiga scrub? ila kama ni kwaajili ya matibabu sio kama za kawaida
Ni kama mtu anayjifanyia upasuaji wa matiti kwa ajilinya urembo na mwingine kwa ajili ya matibabu huwezi walinganisha