Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Itasikitisha sana kama hizi taarifa zikithibitika kua na ukweli...


Cc: mahondaw
hahahaa mkuu inamaana huwa haufanyi man cure na scrub...aaahhh wapi "" mahondaw angekuwa ameshkukimbia...maana uso wako ungekuwa unafanana na yuda escariot
 
Lakin scrub hiyohiyo tunayoiona mbaya imewasaidia hata watu wenye matatizo ya ngozi kama Fid Q kurekebisha hata muonekano wake. Basically kwa kuwa wabongo tumeshazoea sana kuwa negative na baadhi ya mambo hili tutaliona sio jambo zuri lakin tukae tukijua hakuna chenye faida bila hasara
 
Tulia wewe.... Tafuta pesa tumia pesa ukinidisi umenikubali... Mamaeee [emoji23]
 
Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
Wanaiga kutoka kwa watu wa dar sio?
 
Yani kwa kidume mzee afu unaleta mambo za kutia 'njonjo' picha kwa kweli inakua haijakaa vzuri.

Lakini haya mambo yakifanywa na mdada hasa wa jiji la 'naibu raisi' hatutashangaa.

Hivi na wadada wa 'Mikoani' nao wanafanya kama wadada wa 'jiji kuu la kibiashara' kujichubua kwa 360 na photoshop??
 
fid q amepiga scrub? ila kama ni kwaajili ya matibabu sio kama za kawaida
Ni kama mtu anayjifanyia upasuaji wa matiti kwa ajilinya urembo na mwingine kwa ajili ya matibabu huwezi walinganisha
 
fid q amepiga scrub? ila kama ni kwaajili ya matibabu sio kama za kawaida
Ni kama mtu anayjifanyia upasuaji wa matiti kwa ajilinya urembo na mwingine kwa ajili ya matibabu huwezi walinganisha
Ndio chief fid Q alipiga scrub maana uso wake ulikuwa una mafuta mengi na machunusi. Scrub ipo kwa ajili ya kurekebisha ngozi yenye kasoro isipokuwa sis wanadamu tunabadili matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…