Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Huyu Rey Mystrerio namkubali kuliko mwanamieleka yoyote yule. Hana nguvu sana ila ana akili sana na timing.
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.
Hapana, nawakumbuka tu hao. Aliyekufa hapo ni Guerero aliyekuwa rafiki mkubwa sana wa Rey.
WWE na Rey wapi na wapi!!!
Alishaachana na WWE kitambo
asante mkuu...
vicky alikuwa mke wa Eddy Guererrohawa walikuwa Hector Guererro, Juventud Guererro, Chavo Guererro na marehemu Eddy Guerrero kuleeee WCW.
then kwa miaka ya karibuni nimekuja kumuona mtu anaitwa Vicky Guererro mamaa wa "excuse me"
mkuu umenikumbusha Chris Benoit na Umagakuna mjerumani wakuitwa Brock Lesner alimkalisha undertaker kwa mara ya kwanza ktk wrestlemania last year.
ikumbukwe kuwa zaidi ya aka 20 mkubwa the phenom hakuwahi kupoteza game ktk wrestlemania...
then tafuta ukidekee kichwa kinaitwa Roman Regin.
huyu jamaa alikuwa ktk kundi la the shield na Dean ambrose na yule sakala aliekubali kumsujudia HHH.
Sting is Back.
na ktk wrestlemania kazichapa na shemeji yake Shane Mcmahon yaani HHH.
mie bana ktk mieleka huwa nasimama kwa furaha pindi tu anapotoka Vince Mcmahon.
huyu jamaa ndie swahiba wangu ktk mieleika.
R.I.P EDDY GUERERRO
R.I.P MACHO MAN
R.I.P CHRIS BENOIT
R.I.P OWEN HURT
R.I.P SAMOAN BULLDOZER UUUUUMAGAAAA
Mkuu huyu jamaa hakuwahi kumpiga Rancy Orton kwenye wrestlemania moja hivi. Nakumbuka ilikuwa ni baada ya kifo cha rafiki yake Eddy Guerrerro, Rey Akavaa kitambaa kimeandikwa I have Done This for Eddy [RIP].aliuvagaa moto wa Randy Orton teh teh teh alijamba....
...hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.
Vin sio pro wrestler ni promoter tu na zaidi ni CEO wa WWE...
Ukimuona au ulivyokuwa ukimuona jukwaani ilikuwa ni sehemu ya script tu za episodes za wakati huo kunogesha stori...
Kama enzi zile za Hulkmania, hata wakati wa Stone Cold, wakati wa uhasama ule wa Umaga vs Bob Lashley etc
Mkuu shukrani, nimeona. Hawa watu walikuwa hawamfahamu vyema Rey. Aliposhangiliwa Mistero akapata nguvu na kama kawaida akawatiaa kwenye kamba na kisha kupaa angani na kumshukia kama mwewe.
Rey arudi tu WWE au hata TNA.
Bob Leshley naye yupo wapi siku hizi. Huyu ndiye angewezana na Lesner.
Stone Cold Steve Austin namkumbuka sana enzi hizo wakipambana na the Rocky.
WWE Kuna watu wanajiita "the authority",hawa jamaaa wanafanya chochote wanacho kitaka, Randy alitolea nje ya mchezo Kama miezi minne hv.
Huyu lazima afufuke kama Undateka