Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani...

ni sawa useme mchezaji mpira ktk ligi ya La Liga afariki baada ya mechi...
kisha habari ndani iseme kuwa mchezaji wa ligi ya mpira wa miguu ya Marekani MLS amefariki baada ya mechi...
 
WWE na Rey wapi na wapi!!!

Alishaachana na WWE kitambo
 
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.

kuna mjerumani wakuitwa Brock Lesner alimkalisha undertaker kwa mara ya kwanza ktk wrestlemania last year.
ikumbukwe kuwa zaidi ya aka 20 mkubwa the phenom hakuwahi kupoteza game ktk wrestlemania...

then tafuta ukidekee kichwa kinaitwa Roman Regin.
huyu jamaa alikuwa ktk kundi la the shield na Dean ambrose na yule sakala aliekubali kumsujudia HHH.

Sting is Back.
na ktk wrestlemania kazichapa na shemeji yake Shane Mcmahon yaani HHH.

mie bana ktk mieleka huwa nasimama kwa furaha pindi tu anapotoka Vince Mcmahon.
huyu jamaa ndie swahiba wangu ktk mieleika.

R.I.P EDDY GUERERRO
R.I.P MACHO MAN
R.I.P CHRIS BENOIT
R.I.P OWEN HURT
R.I.P SAMOAN BULLDOZER UUUUUMAGAAAA
 
Hapana, nawakumbuka tu hao. Aliyekufa hapo ni Guerero aliyekuwa rafiki mkubwa sana wa Rey.

hawa walikuwa Hector Guererro, Juventud Guererro, Chavo Guererro na marehemu Eddy Guerrero kuleeee WCW.

then kwa miaka ya karibuni nimekuja kumuona mtu anaitwa Vicky Guererro mamaa wa "excuse me"
 
asante mkuu...

Mimi nafuatilia WWE kila wiki na hapa nasubiri Wrestlemania 31 wiki ijayo kwa hamu...

Nasubiri mnyama Brock Lesnar vs Roman Reigns (ndugu wa The Rocky, Umaga, Yokozuna etc)...

Halafu ujio wa Sting yule wa WCW na TNA baadaye akikutana na Triple H
 
hawa walikuwa Hector Guererro, Juventud Guererro, Chavo Guererro na marehemu Eddy Guerrero kuleeee WCW.

then kwa miaka ya karibuni nimekuja kumuona mtu anaitwa Vicky Guererro mamaa wa "excuse me"
vicky alikuwa mke wa Eddy Guererro
 
kuna mjerumani wakuitwa Brock Lesner alimkalisha undertaker kwa mara ya kwanza ktk wrestlemania last year.
ikumbukwe kuwa zaidi ya aka 20 mkubwa the phenom hakuwahi kupoteza game ktk wrestlemania...

then tafuta ukidekee kichwa kinaitwa Roman Regin.
huyu jamaa alikuwa ktk kundi la the shield na Dean ambrose na yule sakala aliekubali kumsujudia HHH.

Sting is Back.
na ktk wrestlemania kazichapa na shemeji yake Shane Mcmahon yaani HHH.

mie bana ktk mieleka huwa nasimama kwa furaha pindi tu anapotoka Vince Mcmahon.
huyu jamaa ndie swahiba wangu ktk mieleika.

R.I.P EDDY GUERERRO
R.I.P MACHO MAN
R.I.P CHRIS BENOIT
R.I.P OWEN HURT
R.I.P SAMOAN BULLDOZER UUUUUMAGAAAA
mkuu umenikumbusha Chris Benoit na Umaga

huyu Lesner ana nguvu sana.

hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.
 
aliuvagaa moto wa Randy Orton teh teh teh alijamba....
Mkuu huyu jamaa hakuwahi kumpiga Rancy Orton kwenye wrestlemania moja hivi. Nakumbuka ilikuwa ni baada ya kifo cha rafiki yake Eddy Guerrerro, Rey Akavaa kitambaa kimeandikwa I have Done This for Eddy [RIP].
 
...hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.

Vin sio pro wrestler ni promoter tu na zaidi ni CEO wa WWE...

Ukimuona au ulivyokuwa ukimuona jukwaani ilikuwa ni sehemu ya script tu za episodes za wakati huo kunogesha stori...

Kama enzi zile za Hulkmania, hata wakati wa Stone Cold, wakati wa uhasama ule wa Umaga vs Bob Lashley etc
 
Bob Leshley naye yupo wapi siku hizi. Huyu ndiye angewezana na Lesner. Stone Cold Steve Austin namkumbuka sana enzi hizo wakipambana na the Rocky.
 
WWE Wrestlemenia 31 block Reasner lazima akae mbele ya mkali Roman Reigns mzee wa sphere na ngumi jiwe. I hate Setth Rollins, Kene, yule Mrusia Reserve, Triple HHH. Wapo vizuri sana D. Ambrose, Seagwer, kijana wa Shon mickael Yes! Yes! Yes! J. Cena,
 
Mkuu shukrani, nimeona. Hawa watu walikuwa hawamfahamu vyema Rey. Aliposhangiliwa Mistero akapata nguvu na kama kawaida akawatiaa kwenye kamba na kisha kupaa angani na kumshukia kama mwewe.

Rey arudi tu WWE au hata TNA.

WWE Kuna watu wanajiita "the authority",hawa jamaaa wanafanya chochote wanacho kitaka, Randy alitolea nje ya mchezo Kama miezi minne hv.
 
Namzimikia mwanadada stefan macmahon ni mbabe kinoma,ahh vince macmahon ananikosha tu anavyorushaga miguu yake anapoingia ulingon hahaaaaa hao ndio the ausoritee
 
Bob Leshley naye yupo wapi siku hizi. Huyu ndiye angewezana na Lesner.

Last time i checked alikuwa na title ya World Heavyweight Champ ya TNA, yupo na kina MVP etc...

Stone Cold Steve Austin namkumbuka sana enzi hizo wakipambana na the Rocky.

Stone Cold sasa hivi ana TV show yake anahost huko kwao Austin Tx...
 
WWE Kuna watu wanajiita "the authority",hawa jamaaa wanafanya chochote wanacho kitaka, Randy alitolea nje ya mchezo Kama miezi minne hv.

Mdau randy amerudishwa tyt,na wakatag team na seth against roman na mzee wa yes yes yes,waliibuka kidedea kina roman reigns ofcoz,nampenda sn roman reigns
 
Gang Chomba;

Brock Lesnar ni hatar naskia alkuwa boxer ye ndiye alyevunja streak. sa hivi ni 21-1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom