Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
WWE Kuna watu wanajiita "the authority",hawa jamaaa wanafanya chochote wanacho kitaka, Randy alitolea nje ya mchezo Kama miezi minne hv.
Namzimikia mwanadada stefan macmahon ni mbabe kinoma,ahh vince macmahon ananikosha tu anavyorushaga miguu yake anapoingia ulingon hahaaaaa hao ndio the ausoritee
Kuna watu ni wagumu kukubal kushndwa hata umbane vip hawezi ku tap out, Cena na Undertaker ni miongoni mwao, Cena anapendewa ujasiri, good heart kama hero vile, lakini hana mapigo makali.
John Cena naye nasikia amefariki ni kweli?
Yaa, siku hizi namuona kwenye uongozi, ila bado akiona upande wake aliotaka ushinde unalemewa, huwa anaingilia.
Nilikuwa nampenda Show stopper na uvumilivu wake, akitoa the heart break kick, hata uwe njemba kiasi gani, lazima ukae!
nadhani watu wengi hawafahamu kwamba stefan macmaho ni mke halali wa Triple H.:biggrin:hah hah hah hah halafu ana bonge la sautiiii...
ila ni muoga hatari
Mkuu huyu jamaa hakuwahi kumpiga Rancy Orton kwenye wrestlemania moja hivi. Nakumbuka ilikuwa ni baada ya kifo cha rafiki yake Eddy Guerrerro, Rey Akavaa kitambaa kimeandikwa I have Done This for Eddy [RIP].
nadhani watu wengi hawafahamu kwamba stefan macmaho ni mke halali wa Triple H.:biggrin:
kuna siku walimuita Randy ili wamsilimishe na awe kwenye chama lao...hah hah hah dah Randy akakinukisha palepale baada ya kumpiga seth rolins RKO...ebana HHH alimmaind ile mbaaya
Mdau randy amerudishwa tyt,na wakatag team na seth against roman na mzee wa yes yes yes,waliibuka kidedea kina roman reigns ofcoz,nampenda sn roman reigns
Bob Leshley naye yupo wapi siku hizi. Huyu ndiye angewezana na Lesner. Stone Cold Steve Austin namkumbuka sana enzi hizo wakipambana na the Rocky.
WWE Wrestlemenia 31 block Reasner lazima akae mbele ya mkali Roman Reigns mzee wa sphere na ngumi jiwe. I hate Setth Rollins, Kene, yule Mrusia Reserve, Brock HHH. Wapo vizuri sana D. Ambrose, Seagwer, kijana wa Shon mickael Yes! Yes! Yes! J. Cena,
Vin sio pro wrestler ni promoter tu na zaidi ni CEO wa WWE...
Ukimuona au ulivyokuwa ukimuona jukwaani ilikuwa ni sehemu ya script tu za episodes za wakati huo kunogesha stori...
Kama enzi zile za Hulkmania, hata wakati wa Stone Cold, wakati wa uhasama ule wa Umaga vs Bob Lashley etc