mbiza
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 529
- 135
Dany Brian Mr. Yes yeeeees, yeeeeees, yeeeeeees
naaaaaam,mzee wa yeeeeeeeeeees,ila daniel bryan nilimpenda zaidi wakati yupo na kane,vile vituko vyao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dany Brian Mr. Yes yeeeees, yeeeeees, yeeeeeees
The Great Khali, jitu kubwa sijui lipo waapi siku hizi.Kuna mbabe anaitwa Great Khalid huyu alikuwa anashika kichwa cha mpinzani wake anakiminya mpaka jamaa analainika na kuanguka chini. Triple H na wenzake iliwakuta.
The Great Khali, jitu kubwa sijui lipo waapi siku hizi.
Ni HHH huyo huyo ndo alimnyima mkataba eti amekwisha na haiingizii kampuni chochote zaidi ya hasara.
pamoja mkuu,nimekosea hapo,nilijua ni chairman tu
hawa hawana uhasama mkuu,ile ni storyline tu ambayo wwe wameitengeneza,storyline(kayfabe) ni matukio yapangwayo kwenye mieleka kama vile ni real wakati sio
...ukiangalia you tube podcast ya stone cold steve austin aliyomuhoji vince mcmahon(the man) in wwe,vince mcmahon alisema kwamba ni yeye ndie aliyeamua streak iishe,na undertaker bcoz anamuheshimu mno brock lesnar akakubali kupigwa nae.
yupo TNA
Nafahamu mkuu kuwa matukio na matokeo ya mieleka hupangwa ili kufanya muendelezo na kuvutia zaidi watazamaji (ppv)...
Bila shaka unaizungumzia podcast ya Stone Cold na Vin waliyoifanya Tulsa OK baada ya Royal Rumble...
Hivi ndio kashuka daraja au kachagua tu kwenda huko?
Kuna mbabe anaitwa Great Khalid huyu alikuwa anashika kichwa cha mpinzani wake anakiminya mpaka jamaa analainika na kuanguka chini. Triple H na wenzake iliwakuta.
thibitisha...
halafu ukitukanwa utaripoti kuwa umevunjiwa heshima?
You mean, everything there is fake...........randy alikuwa ameumia kistoryline tu but in reality alikuwa amepewa time off to shoot a movie the condemned.