mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
mkuu umenikumbusha Chris Benoit na Umaga
huyu Lesner ana nguvu sana.
hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.
Lesner baada ya kutoka wwe way back alienda kupigana UFC na anabonda si polepole