mkuu umenikumbusha Chris Benoit na Umaga
huyu Lesner ana nguvu sana.
hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.
na kiburi chake Cena alipokea Batista Bomb mwenyewe akaomba maji na kukubali kichapo.
wrestlemania ya mwaka juzi alichapana na the Rock, dah lile ndio pambano langu boora kabisa la mieleka likifuatiwa na pambano la semi final ya survival series iliofanyika novemba 23 mwaka 1998 kati ya the rock na Keny Shemrock
"You can't see me" sio pigo kali, Umenikumbusha pigo moja hatari sana linaitwa "SPEAR" la Goldberg, alikuwa akikupa hii game over, na Kurt Angle akishika mguu wako una-tap out, Benoit (R.I.P) akikushika kichwa una-tap out!
Rey Mysteria ana pigo lake linaitwa 619, yawezekana ndo limemmaliza huyu aliyefariki.
Yaa, siku hizi namuona kwenye uongozi, ila bado akiona upande wake aliotaka ushinde unalemewa, huwa anaingilia.
Nilikuwa nampenda Show stopper na uvumilivu wake, akitoa the heart break kick, hata uwe njemba kiasi gani, lazima ukae!
Block Lesnar ni mnyama, hata the animal (Batista) hapo hafui dafu.
umekosea mkuu,vince mcmahon ni chairman of the board of wwe na pia ni mmiliki kamili wa wwe,ceo wa wwe ni mkewe linda mcmahon
Kijana naona unaleta ujuaji wa kiJF...
Haya hebu soma hapa chini uongeze maarifa na kuanzia leo ujue CEO wa WWE ni Vin na sio mkewe...
Vince McMahon - Wikipedia, the free encyclopedia
Kijana naona unaleta ujuaji wa kiJF...
Haya hebu soma hapa chini uongeze maarifa na kuanzia leo ujue CEO wa WWE ni Vin na sio mkewe...
Vince McMahon - Wikipedia, the free encyclopedia
Haha mm nataka wakutane kwenye Cage
Lesnar ni pro wrestler na alikuwepo WWE akiwa mdogo akiwa na miaka ishirini na kadhaa...
Baada ya hapo akaachaba na mieleka akahamia upande wa mchezo wa ngumi na mateke UFC...
Then akatoka huko na kurudi WWE lakini kwa contract ya kutokea nyakati maalumu tu...
Ana uhasama mkubwa mno na The Undertaker na ulianza zamani kabla hata hajaondoka WWE kwenda UFC...
Alivyorudi ndio wakamalizana na 'The Deadman walking' kwa mtanange wa Wrestlemania 30 na akaivunja ile rekodi ya kutopigwa kwa The Undertaker
Wadau, WWE miaka ya 1990-2000 kulikuwa na mbabe mmoja akiitwa Goldberg, alikuwa mfupi, nunda na mbisbi. Alikuwa anatema mate kama cobra. Yuko wapi huyo jamaa?
Vv
Upo deep mkuu
Tripple H alikuwa anakaza sana kipindi kile cha DX pemben akiwa na mzee Heart break kick show stoper Shawn Michael, ila sasa kapewa uongozi kawa laini
Duuuu TNA balaaaaaa kule mara nyingi inaua sana kuliko WWE
Mkuu mimi ni mpenzi sana wa mieleka na nimekuwa nikiangalia kuanzia WWF, WWE na TNA. Lakini huwa kusema kweli nashindwa kuelwa hiyo falsafa ya action is fake but the pain is real. Hivi kwa mfano wakati Rey anawaweka kwenye kamba wale wapinzani wake na kuwapiga double kick, huwa ni fake?
Kitu kingine ambacho huwa kinanishangaza ni kwamba kila mchezaji ana namana yake ya kumaliza pambano.
Dany Brian Mr. Yes yeeeees, yeeeeees, yeeeeeeeshuyu jamaa triple h amepewa shavu sasa hivi ndo executive vice president of talent/live events/creative,yeye ndo anaisimamia nxt,sasa hivi amekuwa mtu wa mechi moja moja za kuwaput over mastaa kama vile sting na daniel bryan.
Kuna mbabe anaitwa Great Khalid huyu alikuwa anashika kichwa cha mpinzani wake anakiminya mpaka jamaa analainika na kuanguka chini. Triple H na wenzake iliwakuta.U cnt see ipo predictable sana, may be ile ya kumfany mtu a tap out, n ile kaichukua kwa Benoit.
Goldbeg aliwah wekewa chuma tumbona na HHH ile anapig spear akakutan nayo, 619 Pigo linaonekan kama mchezo bt linaefect kubwa aisee, Kurt Angle mzee wa Olimpic anakutegua ankle yule na yupi strong ila mwili mdgo....Nime mkumbuka UMAGA kinomaaa