Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

WWE kwangu imepoteza ladha kabisa maigizo mengi sana na ya wazi bora miaka ya WCW.

Wee acha bwana. Au kwa kuwa unaona iliyochujwa! Kwanza ni entertainment na siyo championship! Pia ukiwa pale uwanjani ni masaa mawili hadi matatu kwa raha mustarehe. Wale jamaa wanafanya kweli usiombe mwanangu.
 
You mean, everything there is fake...........

no mkuu,not all events are fake,kuna injury nyingine ni kweli mfano ryback kipindi kile yupo nexus alivunjika enka kikweli kweli na ikabidi aacha kupigana for two years,ile ni kweli lakini hii ya randy orton ni njia tu ya kumtoa off television,mfano mwingine ni kipindi flani john cena alipigwa na cheni kwenye mbavu,haikuwa injury kweli bali ilikuwa ni njia ya kumtoa televisheni aende kushoot movie ya the marine,so mkuu in professional wrestling everything is planned thats why it is called sports entertainment lakini some events zinaweza tokea script itabidi ibadilishwe
 
Mm nilikua najua wale majamaa huwa wanaigiza kumbe wanagongana live hadi wanauwana

mkuu wale hawaigizi,wanapigana for real sema wanajivunza miaka na miaka zile moves na pia kila move zinakuwa zimeshaget planned,yani kila mechi inakuwa tayari imeshapangwa jinsi itavyokuwa,one of wrestlers objectives is to make sure the other wrestlers are safe,but accidents do occur.
 

I always believe its true.
There are planned issues yes but for entertainment its ok.
 
I always believe its true.
There are planned issues yes but for entertainment its ok.


mizaha kama the Miz ndio iliyifanya nione mieleka imepoteza mvuto, hata kama wanapanga ingekuwa fresh kama wote wangeonesha userious wanapokuwa on stage kama walivyo Roman, Rand orton, sio mtu anaguswa tu mara atoke nje aaaa shit
 
mizaha kama the Miz ndio iliyifanya nione mieleka imepoteza mvuto, hata kama wanapanga ingekuwa fresh kama wote wangeonesha userious wanapokuwa on stage kama walivyo Roman, Rand orton, sio mtu anaguswa tu mara atoke nje aaaa shit

Te money maker (face)
 
hebu nijuzeni kuhusu hii mieleka ni kweli jamani manaake mimi naona tu mtu ana angushwa mara kapigwa kiti mara chuma mara watu wawili wanampiga mmoja mara hata refa anapigwa sielewi kabisa
 
hebu nijuzeni kuhusu hii mieleka ni kweli jamani manaake mimi naona tu mtu ana angushwa mara kapigwa kiti mara chuma mara watu wawili wanampiga mmoja mara hata refa anapigwa sielewi kabisa

mieleka mkuu ni entertainment kwa maana ya kwamba matukio yote yafanyikaya tayari yanakuwa yameshapangwa jinsi yatakavyofanyika,but the action is real although they are perfomed safely by wrestlers who train for years and years to perfect ingawa sometimes ajali hutokea,mchezo wa mieleka mkuu ni mpana sana lakini ngoja nikurahisishie kazi ingia wikipedia soma kitu kinaitwa sports entertainment na baada ya hapo soma kitu kingine kinaitwa list of professional wrestling terms,ukievielewa hivyo tu basi concept nzima ya mieleka utaielewa.
 
Huu mchezo huu, acha tu wale pesa zao;
Hata huyo aliyekufa pengine amepumzika.
 
Wanaupendea nini sasa?

the money of course,hela wanapata sema ukicompare na michezo mingine wanapata hela ndogo sana,mfano john cena ambaye ndiye top star ye anapata 2 million dollars mpaka 3 kwa mwaka hiyo ndo kubwa sana kwao,brock lesnar yeye anaappear on special dates anapata 5 million$ kwa mwaka ambaye huyu ndo highest paid,baada ya hapo wanaofatia ni dola milioni 1,dola laki 4,laki 5,laki 2 kwa mwaka,bado hawajalipa kodi hapo na kama ujuavyo kodi za marekani ni ndefu sana,ila angalia michezo mingine mfano basketball lebron james kwa mwaka anapata dola milioni 20,so there is a big difference,sana sana hawa jamaa wanampa faida tu vince mcmahon
 
ahsante mkuu ila mii nasema ndani yake kuna uwongo flani hata ukiangalia film zenyewe utakuta kile kitendo cha kupigwa hukiyoni na kwa upande mwengine huyu refa utakauta anapigwa jee hili nalo unaliongelea kivipi au hata wao kwa wao utakuta wanapigana ma viti kwa kweli haiyeleweki ila kwa kujiburudisha tu roho upoteze wakati uangalie izo filam apo sawa tofauti na boxing au karate
 

ulichokiongea mkuu kuna ukweli kiasi kwenye suala la kupigana,kuna kitu kinaitwa selling of moves,maana yake kwamba ni kitendo cha mpiganaji mieleka kuwa onyesha watazamaji kuwa anaumia kweli kweli au kile kitendo kimemuaffect sana, wwe superstars and all wrestlers world wide hufanya hii kitu ,ila pia kuna kitu kinaitwa overselling of moves maana ya kwamba kuzidisha manjonjo kwa watazamaji kuwa moves au promo ulizofanyiwa na adui yako vimekuaffect kuliko kawaida,mfano mzuri wa hii ni dolph ziggler wa wwe,na uthibisho mwingine ingia youtube andika batista overselling against mark henry utaelewa zaidi,pia kuna kitu kinaitwa no sell hii inamaanisha kuonyesha audience na kuwa hget affected vyovyote na unachofanyiwa mfano mzuri ukiona mtu anapigwa kiti halafu unaona haumii pale anakuwa amenosell.kuhusu suala la kupigwa kwa refa na yenyewe pia inakuwa imepangwa.kwenye mieleka lazima kuwa na creative team ambao ndo huwa wanapanga storylines(matukio)
 
hapo umenieleza vya kutosha na nimekuelewa ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…