ulichokiongea mkuu kuna ukweli kiasi kwenye suala la kupigana,kuna kitu kinaitwa selling of moves,maana yake kwamba ni kitendo cha mpiganaji mieleka kuwa onyesha watazamaji kuwa anaumia kweli kweli au kile kitendo kimemuaffect sana, wwe superstars and all wrestlers world wide hufanya hii kitu ,ila pia kuna kitu kinaitwa overselling of moves maana ya kwamba kuzidisha manjonjo kwa watazamaji kuwa moves au promo ulizofanyiwa na adui yako vimekuaffect kuliko kawaida,mfano mzuri wa hii ni dolph ziggler wa wwe,na uthibisho mwingine ingia youtube andika batista overselling against mark henry utaelewa zaidi,pia kuna kitu kinaitwa no sell hii inamaanisha kuonyesha audience na kuwa hget affected vyovyote na unachofanyiwa mfano mzuri ukiona mtu anapigwa kiti halafu unaona haumii pale anakuwa amenosell.kuhusu suala la kupigwa kwa refa na yenyewe pia inakuwa imepangwa.kwenye mieleka lazima kuwa na creative team ambao ndo huwa wanapanga storylines(matukio)