Mieleka ni uongo?

Mieleka ni uongo?

Wewe kama unaona ni maigizo, nenda pale ukumbini mchezo umeisha, uombe na wewe uigize pia na yule aliyeshindwa (achana na mshindi) japo dakika mbili, uone wanaigiza kweli au iko vipi.
Kwa ufupi tu ule mchezo una taratibu na sheria zake, kwahiyo usidhani kwamba inafaa kupiga popote na vyovyote, kuna sheria zake, na hizo sheria na taraibu ndiyo hupelekea watu wengi kudhani kuwa ni mchezo wa kuigiza.
Ni ngumu kwangu kuamini aiseeee
 
sina uhakika sana mkuu ila zile issue kama ni maigizo ni kwa asilimia chache sana Randy Orton aliwahi vunjwa bega live akakaa nje kwa muda mrefu lakini pia kuna case nyingine ya jamaa mmoja alikuwa anamuomba msamaha mwenzake baada ya kumnyanyua kwa kumshika vibaya hali iliyopelekea kuanguka na kuumia vibaya sana uti wa mgongo na huo ndio ukawa mwisho wa career zao.

Ile ni acting 1000% . Wakiumia basi ni makosa yanakuwa yamefanyika ila si kwa kupigwa. Wale jamaa hawapigani hata kidogo na Mc Mahon alishakiri hilo na ukiangalia vizuri utagundua, jaribu Kuwa makini kidogo utagundua hamna anayempiga mwenzake pale .
 
Ni ujinga, hakuna mchezo pale kugombea mikanda tu ili hali wanavaa chupi
 
Mbona hata michezo mingine watu wanaigiza na jamii inafurahi tu ?!. Mpaka bongo tuna chama cha waigizaji na bado watu wanaangalia kazi zao ?!.

Kikubwa ile kazi lazima uifanye ukiwa na kipaji
Kwahiyo nawewe unaiunga mkono hoja yangu
 
ni maigizo ingawa wana mieleka ni watu wa mazoezi na kuna sheria zao , kabla ya kupanda jukwaan wanakuwa wameshapanga kila kitu kuanzia mshindi mpaka jinsi watakavyopambana, na wanakuwa wameshafanya mazoezi sana kile watakachofanya jukwaani, ni feki
Makofi kwako [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Watu wanapigwa ngumi mle hawachaniki wala hawavimbi wakati katika ndondi ngumi moja tu mtu midamu hiyooo uso huuuuoooo na haaamki tena
Lakini kwenye mieleka watu wanapigwa hadi na viti vya chuma lakini hawapsuki
Hapo sasa ndo pananipa wasiwasi
 
Kinachoshangaza ni kuna watu wanaamini ni kweli
Hivi nyie mnaakili kweli???

Mana mi nilielewa ni maigizo tangu nina miaka16
Sasa nyie watu wazima bado mnaamini[emoji23][emoji23]
Wambie
 
Ile ni acting 1000% . Wakiumia basi ni makosa yanakuwa yamefanyika ila si kwa kupigwa. Wale jamaa hawapigani hata kidogo na Mc Mahon alishakiri hilo na ukiangalia vizuri utagundua, jaribu Kuwa makini kidogo utagundua hamna anayempiga mwenzake pale .
Njoo hku uchukue japo mirinda nyeusi
 
Wenyewe wanasema ni " Professional Trained Performers" hapo kuna cha kuuliza tena?

Ukitaka kujua ni maigizo tafuta video wakiwa kwenye mazoezi yao
 
Wenyewe wanasema ni " Professional Trained Performers" hapo kuna cha kuuliza tena?

Ukitaka kujua ni maigizo tafuta video wakiwa kwenye mazoezi yao
Poa mkuu ntazidi kufatilia ili kujiridhisha zaidi
 
Kama unafikiri Mieleka ni ukweli basi una akili kama za Mzee Homer Simpson, Baba yake Lisa...msikilize Lisa anavyomponda Baba yake anayefikiri mieleka ni maukweli ukweli.
Homer 22.jpg

 
Hili suala tokea niko kidato cha pili nishaelewa ni maigizo na nikapoteza hamu ya kufatilia. Tokea hapo hadi leo wanamieleka wapya siwajui,na siupendi huu mchezo nikikosa cha kutazama ni vema tv isinipigie kelele na kunikera
 
Mi huwa wananifurasha pale mtu ananponyanyuliwa juu yaani adui anatanua mikono ili abebwe halafu atupwe chini.

Bingwa wa haya maigizo ni undertaker [emoji23][emoji23][emoji23], anatoka mbali anamrukia adui aliye nje ya ulingo na adui anakinga mikono kumdaka then wote wanaanguka Kama wamekufa. Kale ka 619 ka ray masterio ni ka kumrusha mtu meter tano kweli 🤣🤣.
 
Back
Top Bottom