Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kwangu kuamini aiseeeeWewe kama unaona ni maigizo, nenda pale ukumbini mchezo umeisha, uombe na wewe uigize pia na yule aliyeshindwa (achana na mshindi) japo dakika mbili, uone wanaigiza kweli au iko vipi.
Kwa ufupi tu ule mchezo una taratibu na sheria zake, kwahiyo usidhani kwamba inafaa kupiga popote na vyovyote, kuna sheria zake, na hizo sheria na taraibu ndiyo hupelekea watu wengi kudhani kuwa ni mchezo wa kuigiza.
sina uhakika sana mkuu ila zile issue kama ni maigizo ni kwa asilimia chache sana Randy Orton aliwahi vunjwa bega live akakaa nje kwa muda mrefu lakini pia kuna case nyingine ya jamaa mmoja alikuwa anamuomba msamaha mwenzake baada ya kumnyanyua kwa kumshika vibaya hali iliyopelekea kuanguka na kuumia vibaya sana uti wa mgongo na huo ndio ukawa mwisho wa career zao.
Kwahiyo nawewe unaiunga mkono hoja yanguMbona hata michezo mingine watu wanaigiza na jamii inafurahi tu ?!. Mpaka bongo tuna chama cha waigizaji na bado watu wanaangalia kazi zao ?!.
Kikubwa ile kazi lazima uifanye ukiwa na kipaji
Makofi kwako [emoji122][emoji122][emoji122]ni maigizo ingawa wana mieleka ni watu wa mazoezi na kuna sheria zao , kabla ya kupanda jukwaan wanakuwa wameshapanga kila kitu kuanzia mshindi mpaka jinsi watakavyopambana, na wanakuwa wameshafanya mazoezi sana kile watakachofanya jukwaani, ni feki
Hapo sasa ndo pananipa wasiwasiWatu wanapigwa ngumi mle hawachaniki wala hawavimbi wakati katika ndondi ngumi moja tu mtu midamu hiyooo uso huuuuoooo na haaamki tena
Lakini kwenye mieleka watu wanapigwa hadi na viti vya chuma lakini hawapsuki
Njoo hku uchukue japo mirinda nyeusiIle ni acting 1000% . Wakiumia basi ni makosa yanakuwa yamefanyika ila si kwa kupigwa. Wale jamaa hawapigani hata kidogo na Mc Mahon alishakiri hilo na ukiangalia vizuri utagundua, jaribu Kuwa makini kidogo utagundua hamna anayempiga mwenzake pale .
Mi huwa wananifurasha pale mtu ananponyanyuliwa juu yaani adui anatanua mikono ili abebwe halafu atupwe chini.