Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Kutoka ccm sio tatizo kwani Mimi nimesema wametoka Chauma? Bali tunawalunganisha hao hao waliotoka ccm.

Kama huna content nenda kajadili mambo ya Mwambukusu ndio unayaweza 😂😂
🤣🤣🤣 twende mdogo mdogo. Kwani urais ni mali binafsi ya mtu au inakuwaje?

Kwa kauli yako umewademote marais wote waliotangulia hivyo umeonesha wazi kuwa CCM ilituletea incompwtwnt candidates kushika usukani wa nchi.


Hayo ya kina Mwabukusi ni drama ambayo stage yake itafika na tutaona wote ushubwada wa Kingai na wenzake mabingwa wa kutunga maigizo
 
Urais ni taasisi ila maono ya mtu binafsi ambae anaitwa Rais huzingatiwa zaidi ndio maana husikii watu wasiojulikana Kwa sababu Rais wa Sasa hataki huo utaratibu
 
Urais ni taasisi ila maono ya mtu binafsi ambae anaitwa Rais huzingatiwa zaidi ndio maana husikii watu wasiojulikana Kwa sababu Rais wa Sasa hataki huo utaratibu
Jibu ni HAPANA

CCM ni kila kitu ndo maana wasiojulikana wapo hadi leo.

Ni suala.la muda tu
 
Ni kweli uchumi umekuwa maana tupo uchumi wa Kari kama alivyouacha JPM!
Mkuu kama unatafuta uteuzi muone mwanae wa kiume maana ndiyo mwenye ufunguo pale Ikulu
Leo USD ni shilingi ngapi kwa pesa ya Tanzania?
 
wewe ni mwigulu nchemba? huu ndio upupu mnaomlisha huyo bibi huko ndani?
no wonder tunaenda kama ndege isiyo na rubani
 
Ni ujinga mtupu mnao mezeshana mkiwa lumumba?

Nchi yetu tulifikia kwenye uchumi wa kati mdogo, Mh Rais kwa kinywa chake akasema, tumeporomoka na hatuko tena kwenye uchumi wa kati mdogo

Akaahidi kuwa atafanya juhudi ili kurudi huko Again!

Hizi data ulizotuletea, zinaonyesha kiwango kibkubwa saaana karibu mara mbili ya taqwim za ukuaji wa uchumi kipindi cha mwendazake

Kama ndivyo ilivyo leo, mbona bado hatujafikia kule tulifika kwenye uchumi wa kati? Ili hali takwimu za ukuaji uchumi zimejidable?

Kwa nini kunaongezeko kubwa sana la kupanda kwa gharama za maisha ukilinganisha na kipindi cha Magufuli?

Kwa nini pesa hakuna mtaani ukilinganissha na huko ntuma?

Kwa nini kuna kushuka kwa kasi mno thamani ya shilingi yetu dhidi ya Dollar ukilinganisha na tulikotoka, wakati huo huo umesema ukuaji na uongezeko la ujenzi viwanda na wawekezaji kwa sasa ni karibu mara mbili ikilinganishwa na kipindi cha Magufi? Hapa pesa za kigeni ziko wapi, wawekezaji mbona lukuki kwa mjibu wa takwimu hizi?

Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe?
 
Mkuu weka hizo data Tuone, hio asilimia 5 ni inflation average ama ya bidhaa fulani?

Pia si kweli WB na IMF wanatumia Bot tu, rejea kipindi cha Magu alivyokua akipika data za ukuaji Uchumi, IMF na benki ya dunia walikua na data zao wenyewe,



Ukiangalia data nilizoweka juu hakuna asilimia 7 ya ukuaji uchumi japo serikali ilisema uchumi ulikua Hivyo.
 
Mimi sio mwanasiasa, sina chama na wala hutaniona popote JF nadiscuss vyama.

Source ya jedwali hili
 
Ona ulivyo nyumbu,tangu lini Tanzania iliwahi kutoka Uchumi wa kati?

Wewe ndio ulishindwa kuelewa kwamba Nchi ilianza kuwa kwenye recession na kama hatua zisingechukuliwa ingerudi kule ila Kwa Sasa ilipofikia haiwezi tena kurudi nyuma.
 
Ni kweli uchumi umekuwa maana tupo uchumi wa Kari kama alivyouacha JPM!
Mkuu kama unatafuta uteuzi muone mwanae wa kiume maana ndiyo mwenye ufunguo pale Ikulu
Leo USD ni shilingi ngapi kwa pesa ya Tanzania?
USd hata ingekuwa elfu 5 haijawahi sababisha uchumi usikue,inaelekea hamjui hata mnachoongea
 
Kwa vile unaemwandikia ni mwanamke atakuelewa.

Ndugu yangu uchumi upi amnbao Raia maisha ni Magumu?
Maisha magumu yameanza awamu ya 6? Unaweza tueleza lini maisha yalikuwa mepesi?

Endelea kulalamika Sasa,unaweza soma hii makala ambayo Wakulima wa Mkoa wa Rukwa wanafaidi kutoka Kwa Serikali Yao,gunia kutoka 30,000 awamu ya Tano Hadi 90,000 usifanye mzaha wewe nyumbu.

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1692047985058644297?t=zRZuIgK95F8nuJyyK8CAPQ&s=19
 
Raid pekee aliyofanya vizuri kwenye uchumi ni Nyerere,bahati mbaya alikumbana na mabadiliko ya mifumo ya kisiasa na kiuchumi Duniani.
Wengine waliobaki mabadiliko ya kiuchumu yanatokana na muda na kubadilika kwa sera za kiuchumi.
 
Raid pekee aliyofanya vizuri kwenye uchumi ni Nyerere,bahati mbaya alikumbana na mabadiliko ya mifumo ya kisiasa na kiuchumi Duniani.
Wengine waliobaki mabadiliko ya kiuchumu yanatokana na muda na kubadilika kwa sera za kiuchumi.
Nyerere huyo huyo ambae mlikuwa mnavaa viraka na kupanga foleni kwenye maduka ya ujamaa au? 🤣🤣
 
Porojo tu nimeenda petrol station jana kwa mara ya kwanza nimekosa mafuta ,halafu mnnakuja na porojo zenu huku
 
Hiyo habari aina data za uchumi wao wanaelezea tathmini iliyofanywa na bank ya dunia kwenye ukuaji wa uchumi inayopingana na tathmini iliyotolewa na serikali.

Ukuaji wa uchumi mara nyingi unafanywa through ‘circular flow of income’, ukiangalia formula yake utaona hizo data nyingi ni za serikali, source ni BoT, Brella, NBS, Banks, Ministries na taasisi zingine za serikali.

Wanachofanya wachumi ni kutumia hizo data kutengeneza economic models na kufanyia tathmini mbali mbali; hapo ndio wanaweza pishana. Kwenye kufanya tathmini kuna vitu mmoja anaweza weka mwingine asiweke, kwenye trend analysis mwingine anaweza kuwa optimistic na mwingine anaweza kuwa moderate.

Inabidi uwe makini tu hata wewe unaweza fanya hesabu za GDP ya Tanzania ukipata data so usitishike sana na nani kasema nini; provided you can access hizo data na wewe ukajiamulia. Ila sio rahisi kufanya tathmini ya nchi nyingine bila ya data zao, that’s impossible. Tafuta hiyo report ya WB utaona source ya data zao kufanya hiyo tathmini ni taasisi za Tanzania.


Kuhusu inflation data zote zipo hapo na market basket prices.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…