Hiyo habari aina data za uchumi wao wanaelezea tathmini iliyofanywa na bank ya dunia kwenye ukuaji wa uchumi inayopingana na tathmini iliyotolewa na serikali.
Ukuaji wa uchumi mara nyingi unafanywa through ‘circular flow of income’, ukiangalia formula yake utaona hizo data nyingi ni za serikali, source ni BoT, Brella, NBS, Banks, Ministries na taasisi zingine za serikali.
Wanachofanya wachumi ni kutumia hizo data kutengeneza economic models na kufanyia tathmini mbali mbali; hapo ndio wanaweza pishana. Kwenye kufanya tathmini kuna vitu mmoja anaweza weka mwingine asiweke, kwenye trend analysis mwingine anaweza kuwa optimistic na mwingine anaweza kuwa moderate.
Inabidi uwe makini tu hata wewe unaweza fanya hesabu za GDP ya Tanzania ukipata data so usitishike sana na nani kasema nini; provided you can access hizo data na wewe ukajiamulia. Ila sio rahisi kufanya tathmini ya nchi nyingine bila ya data zao, that’s impossible. Tafuta hiyo report ya WB utaona source ya data zao kufanya hiyo tathmini ni taasisi za Tanzania.
Tanzania National Bureau of Statistics
Kuhusu inflation data zote zipo hapo na market basket prices.