Tetesi: Miezi michache tu mbele wapo watumishi wa umma watakaotoa pesa kwenye ATM machine huku wanatoa machozi.

Watafarijika na nini? Hivi hizi roho za korosho huwa munazipata wapi?

Kwa nini usijitahidi kufikia hapo juu mwenzako alipo ili uupate huo mshahara mkubwa and then wewe ufarijike!!!?

Yaani Unafarijika mshahara wa mwenzako kupunguzwa ili mlingane?

You can not be strong by weakening the strong
 
Inaonekana unafanya kazi kwenye izo taasisi c kwa povu ilo hebu nambie ulisomea wap ivo vitu special ambavyo unahic wengine hawana had washindwe kufanya kaz izo tatizo ubinafsi ushamba na woga wa maisha vinakusumbua
Wewe utakuwa unaumia sana Wenzako wa baadhi ya mashirika ya umma kulipwa vizuri.....

Vumilia tu mkuu, hamna namna
 
Kuna watu wana mawazo ya kimasikini kama una bachelor ya umeme kwanini uliomba uwalimu?
Chuki tu. Na haitakuja itokee kila ajira ina mikataba yake
 
Kodi si ndo hizo mnakataa kulipa, na wakibanwa mabwana zenu walipe mnakimbilia kuwatetea eti wanaonewa.. Au unataka serikali itoe wapi pesa wakati Lissu anawatetea wanaotuibia madini?
Pathetic fool kabisa... kama mnawadai kodi si muwapeleke mahakamani au mtaifishe mali zao tu na sio kulialia apa.. hiyo roho yako ya kimaskini haiwezi kufikisha popote.. work your a.ss off utengeneze extra income..na kamwe dua la kuku halimpati mwewe..
 
TUTAHESHIMIANA, WAALIMU HAWATADHARAULIWA TENA, KIPATO WOTE KITAKUWA SAWA
 
Sasa tutaheshimiana, Walijua kutumwagia maji kwa magari yao mengine ya wizi
 
Wafanane na wa serikali kuu au serikali za mitaa?? Maana serikali kuu wanakula kiyoyozi tu wana shida gani?
 
Watakuwa ni waalimu tu. Ndo wanaonyanyashwa sana inchi hii.
Soma bandiko vzr upate kuelewa...
Mtoa hoja anawazungumzia wa sekta zingine nje ya waalimu. Taasisi za Umma etc etc.
 
Kwenye huu uzi naona walimu wanajipa moyo wa kufanana na watumishi wa sekta fulani,nadhani mngepambana mpate haki zenu badala ya kusubiria wenzenu washushwe hao wenzenu wana allowance,safari na benefits kibao ilo la kupunguziwa halitawafanya nyinyi ndugu zangu walimu muache kukalia mabenchi na mazingira mabovu ya kazi.
 
hivi wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa huwa wana tofauti ya mishahara?
 

Wafarijike kwa lipi? Wewe utakua na tatizo la akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…