Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasipo kusanya ikibainika, watafutwa kazi na kuajiri wengine... Maana huku mitaani kuna vijana hawana ajira na wananjaana TRA wakipigwa panga la mshahara kodi itakusanyika kweli?
Hapo ndiomtajua kwa nini Engineers wanalipwa hela nyingi....na TRA wakipigwa panga la mshahara kodi itakusanyika kweli?
Kodi siyo hivyo mnavyofikiri kwamba kuna vijana wengi wako mtaani. Wakiajiriwa itawachukua miaka kumi kuweza ku master kazi ya kukusanya kodi. Sasa katika kipindi hiki cha mpito unategemea nini?Wasipo kusanya ikibainika, watafutwa kazi na kuajiri wengine... Maana huku mitaani kuna vijana hawana ajira na wananjaa
Safari hii michadema itakimbia kuwatetea waalimu, wauguzi na askari na kuwatetea wala rushwa wa TRA na TanroadsMoja ya hadidu ya rejea waliyopewa bodi ya pili ya mishahara ni kuangalia hilo ulilolileta mdau.
Upande wa pili kuna watakaoshangilia kidogo kwani watumishi walio katika mazingira magumu kama wauguzi na waalimu wataangaliwa na kuonwa!
Mm binafsi napinga hii hoja yako... I belive a graduate aliyesoma tax, accounts, finance, mathematics na nyinginezo wakipigwa training ya vitendo 6month tu wanakusanya izo kodi vizuri tuKodi siyo hivyo mnavyofikiri kwamba kuna vijana wengi wako mtaani. Wakiajiriwa itawachukua miaka kumi kuweza ku master kazi ya kukusanya kodi. Sasa katika kipindi hiki cha mpito unategemea nini?
Atakayeqapiga training ni nani wakati watu wote wenye uzoefu watakuwa wameshaondolewa?Mm binafsi napinga hii hoja yako... I belive a graduate aliyesoma tax, accounts, finance, mathematics na nyinginezo wakipigwa training ya vitendo 6month tu wanakusanya izo kodi vizuri tu
Kwenye msafara wa mamba Kenge hawakosekani... hawawezi sepa wote. Ila ni mtazamo wangu tu mkuu.Atakayeqapiga training ni nani wakati watu wote wenye uzoefu watakuwa wameshaondolewa?
TRA siyo kama mnavyofikiria. Kuna hoja za kisheria zinaweza kutolewa ukawa unaiona kodi lakini huna uwezo wa kuikusanya. Acha kabisa masuala ya kodi.Kwenye msafara wa mamba Kenge hawakosekani... hawawezi sepa wote. Ila ni mtazamo wangu tu mkuu.
Sawa mkuu nimekuelewa! Nisikubishie sina ujuzi sana na mambo ya kodi.TRA siyo kama mnavyofikiria. Kuna hoja za kisheria zinaweza kutolewa ukawa unaiona kodi lakini huna uwezo wa kuikusanya. Acha kabisa masuala ya kodi.
Mfano ukawa na assest zako kisha kundi la wavamizi wakaja kuziharibu na ukapata hasara. Je kwenye kodi hiyo hasara ikiyosababishwa na uvamizi ni allowable deduction ama si allowable? Kama jibu ni yes ama no ni kwa nini?Sawa mkuu nimekuelewa! Nisikubishie sina ujuzi sana na mambo ya kodi.
Inaonyesha ni kwa jinsi gani michadema ilivyo vigeugeu.. Hawataipongeza serikali kwa kuinua watumishi waliokuwa wanateseka kwa mishahara kiduchu na kufanya kazi kwenye mazingira magumu badala yake wataamia kuwatetea waliokuwa wanalipwa mishahara minono iliyopunguzwa ili kuwe na usawa kati ya watumishiMkuu FisadiKuu sasa michadema ikikimbia kuwatetea Waalimu, askari na Wauguzi maccm yanachukia? Au sijakuelewa?