Au huo muongiloano ndo sababu.?..mimi naona ni salama zaidi wakiwa na eneo lao tofauti na ndani ya banda. Kama kuwa na kibanda kingine pembezoni mwa bandaNdio. Humo ndani ya banda kubwa nimeweka vibanda vidogo vidogo kwaajili ya vifaranga
Nimewaza pia. Nitafanya kuwatenga mbali kabisa nione matokeo.. thanks.Au huo muongiloano ndo sababu.?..mimi naona ni salama zaidi wakiwa na eneo lao tofauti na ndani ya banda. Kama kuwa na kibanda kingine pembezoni mwa banda
I hope it helps. Pls let me know how it goesNimewaza pia. Nitafanya kuwatenga mbali kabisa nione matokeo.. thanks.
Sawa sawa mkuu.I hope it helps. Pls let me know how it goes
Hii hoja huwa siielewi, maana kama ingekuwa hivyo generation ya kuku inge disapear, unless kama kuna sababu za kitaalam, na je hiyo parental stock unaitoa wapi wakati na wao pia walikuwa ni vifaranga, au wao hawakuanguliwa?Kuna kuku ambao ni maalumu kwa ajili ya utotoleshaji vifaranga (PARENTAL STOCK) sasa Hawa kuwapata huwa ni issue, kuku wakwanza akishatotoa , nahuyo kifaranga akija kua mkubwa nae akaanza kutaga akitotoa vifaranga mara nyingi huwa haviwi imara, Kinga yao ya mwili inakua dhaifu natural.
Tafuta parental stock ndio wawe maalumu kwa ajili kutaga mayai kisha utotoleshe vifaranga.
Mkuu hata mie huwa najiuliza. Utasikia Sungura wamechoka eti wanazaliana wale wale. MbonaWarabu hapa Tanzania wanazaliana wale wale waliokuja miska 500 iliopita. Hakuna makundi mapya ya warabu waneohamia, mbona hawafi na kuwa dhaifu.Hii hoja huwa siielewi, maana kama ingekuwa hivyo generation ya kuku inge disapear, unless kama kuna sababu za kitaalam, na je hiyo parental stock unaitoa wapi wakati na wao pia walikuwa ni vifaranga, au wao hawakuanguliwa?
Ushajiuliza kwa nini watu wengi hawafugi broiler wakawaruhusu watage mayai kisha wakaenda totolesha mayai ya broiler?.Mkuu hata mie huwa najiuliza. Utasikia Sungura wamechoka eti wanazaliana wale wale. MbonaWarabu hapa Tanzania wanazaliana wale wale waliokuja miska 500 iliopita. Hakuna makundi mapya ya warabu waneohamia, mbona hawafi na kuwa dhaifu.
Mbona vijijini kabila moja wanaoana wale wale hatujasikia kabila fulani ni dhaifu kwa kuoana.
Labda naweza elewa kuwa vifaranga visizaliane uzao mmoja , ukiviletea jogoo mwingine vinaendekea kuwa vizuri tu.
Hata hivyo nami nitafanya majaribio ndani ya mwaka nione kama uzao utasumbua.