Miezi sita bila ya mahusiano anaambiwa awe na subra

Rafiki yangu yupo kwenye penzi zito juzi ndiyo ananiambia MIEZI 6 mwanamke hawajawahi kusex anamwambia awe na SUBRA hapo kuna mapenzi kweli au maigizo?
Yani unasema rafiki yako yupo kwenye penzi zito,halafu hapo hapo unatuuliza sisi,eti hapo kuna mapenzi hapo?

Sasa uzito wa hilo penzi wewe umeupimaje? uliposema yupo kwenye penzi zito ulimaanisha nini?
 
Huyu jamaa atakuwa shoga sio bure
Kazi kufuatilia mambo ya watu
Umbea majungu ndio kazi yake
 
Back
Top Bottom