Miezi sita bila ya mahusiano anaambiwa awe na subra

Miezi sita bila ya mahusiano anaambiwa awe na subra

Kwa hapa maswali yake yanatija manzi anayekupenda haiwezi kupita muda wote huo asikupe alafu ikawa normal labda awe hajawahi kushiriki kingono na mwanaume yoyote
Kwahiyo mchawi ni kuonjeshwa tu?
 
Ku contor Hisia za Mpanzi kwa Muda mrefu hakuna Nyege ni kama Njaa tu ukisikia njaa yakupaswa kula
Pande zote hekaheka haziishi puuu!🙌🏾
 

Attachments

  • 5471A98B-3541-473F-82A9-AB947101B64E.jpeg
    5471A98B-3541-473F-82A9-AB947101B64E.jpeg
    153.1 KB · Views: 30
Inategemea pia , kila mtu ana namna ya kucontol hisia zake!
Ukiwa single unaweza ila sio ukiwa kwenye relationship unaweza kukuta anambania jamaa alafu kumbe Kuna mtu mwingine anapewa
 
Ukiwa single unaweza ila sio ukiwa kwenye relationship unaweza kukuta anambania jamaa alafu kumbe Kuna mtu mwingine anapewa
Kwanini isiwezekane kwenye mahusiano? Wanaume huwa hamuamini kabisa mwanamke! Sasa kwanini mwingine apewe wewe unyimwe?
 
Back
Top Bottom