Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

Hua nikisikia watangazaji wanavyokua wanajigamba kwenye vipindi mbali mbali redioni hua nadhani ni matajiri mno kumbe bora ata mm ninae bangaiza mtaani uku? Hatari sana
Zile face scrubs na injoface sizikubabaishe kwenye ma-Tv
 
Huyo Nape na huyo rais Samia wakiingiza mikono yao hapo mtakosa kazi ninyi wafanyakazi wote. Wao ndiyo chanzo cha yote haya.

Biashara hazina mzunguko mzuri hivi sasa, maana kila mtu analia. Nani ataleta TANGAZO redioni kwenu? Unataka mmiliki awalipe fedha toka mfukoni kwake?

Wewe kama umeshindwa kusubiri sepa kimya acha kuleta kelele hapa. Wakati unaomba kazi mbona hukuwaataarifu Nape na Samia? Sepa kimya kimya.
 
Hua nikisikia watangazaji wanavyokua wanajigamba kwenye vipindi mbali mbali redioni hua nadhani ni matajiri mno kumbe bora ata mm ninae bangaiza mtaani uku? Hatari sana
Hahaaaa wanaongeanga Kwa shombo Sana hawa pimbiz as if ni millionaires flani ,kumbe glorified kapukuz
 
Vyombo vyote vya habari vilivyoisapoti ccm viko hoi.
1. Sahara midia
2. Itv hoi mbaya kabisa...watu hawajalipwa mishahara ya nyuma kibao
3. Na sasa R.5
Na vitaendelea kufa kutokana na upunguani wao na uchawa ,Kwanza Nani ana muda mchafu WA kusikikiza hao vilaza most of them unprofessional ? Siku nzima kuongea ongea upuuz humu
 
Hili ni tatizo kubwa hata mbeya pia radio nyingi ni hivo hivo hawa lipi
 
Hata arusha kuna radio! Basi kameendelea kamji, hongereni sana wana arusha
 
Dah!.. Wafanyakaz wanapata tabu na kuendesha maisha yao binafsi, naamini mamlaka husika zitachukulia uzito swala hili kama inavuotakiwa..
 
Poleni Sana Wafanyakazi
Hii Hatari Sana

Mnaingiza Tshs Kupitia Matangazo
Tupate Pa Kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…