Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

Kuna mtangazaji siku hizi yupo wizarani, miaka ya 2013 hivi aliwahi kung'oa kifaa muhimu cha studio kwa sababu alikuwa anadai mshahara kwa muda mrefu ila hatimaye alilipwa.
 
Wamegundishwa hapo? Watanzania nani atakuja kutoa huu ujinga, kwa hio hapo Studio wamegundishwa?
 
Kama hamna mikataba nyie ni vibarua tu. Huo ndio ukweli nawapa. Hivyo haki ya kuomba mifuko ya hifadhi za jamii hamna. Kipengele namba nane ndio kimewafyatua
Hawa ndiyo wanajiita waandishi wa habari! Yaani muda wote wanaosema wamenyanyaswa wao wapo tu wameng'ang'ania kama luba. Rais ana mengi ya kushughulikia ingekuwa vizuri asipoteze muda na ujinga kama huu.
 
Wamegundishwa hapo? Watanzania nani atakuja kutoa huu ujinga, kwa hio hapo Studio wamegundishwa?
Tena na gundi kali sana, siyo gundi ya kawaida. Sidhani kama haya maelezo yana ukweli wowote otherwise ni vichaa wanaoweza kufanya hivyo.
 
Poleni aisee miezi 9 bado mpo tu 😳 mjengo nje mkali nje ndan watu wanakufa njaa
Boss miaka 3 haonekan 😂
 
Mbona itv wengine wana zaidi ya 9?
Basi kuna malipo huwa wanapata lakini siyo mshahara. Lazima kuna mishe za kinjaa-njaa huwa wanafanya kuingiza fedha. Ndiyo maana uandihi wa habari ni moja ya sehemu zilizooza kwa rushwa.
 
Basi kuna malipo huwa wanapata lakini siyo mshahara. Lazima kuna mishe za kinjaa-njaa huwa wanafanya kuingiza fedha. Ndiyo maana uandihi wa habari ni moja ya sehemu zilizooza kwa rushwa.
Mkuu hizi midia ni majanga matupu.
Nina mdogo wangu anafanya ITV ni mateso makubwa sana.
Yaani kila siku analia njaa nimemsapoti hadi nimechoka.
Anatamani kuacha lkn anajiuliza akiacha bila kupewa mishahara yake itakuwaje.
Angalau itv wana bima ya afya lakini hali ni tete.
 
Acheni kazi.
Over
 
Na vitaendelea kufa kutokana na upunguani wao na uchawa ,Kwanza Nani ana muda mchafu WA kusikikiza hao vilaza most of them unprofessional ? Siku nzima kuongea ongea upuuz humu
Wanawachukia kwasababu wananunulika kuchafua wengine
 
Shida hawana hata mikataba
 
Basi nyie mabwege miezi tisa hujalipwa na ww upo tu tena unalazimishwa kuingia kazini
 
Kama njaa ni hiv nguvu za kukaaa mbele ya kideo huku wamenyonga tai wanapata wap hawa watu 😀
 
Kama kazi haikulipi, acha. Miezi tisa bila kulipwa mshahara na bado unang'ang'ania nini?
Mnasema hamlipwi mshahara, je mnazalisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…