Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

Kama njaa ni hiv nguvu za kukaaa mbele ya kideo huku wamenyonga tai wanapata wap hawa watu 😀
Hawa wakukaa mbele ya tv kama vile day worker to, viposho viduchu viduchu.

Tafuta youtube ya Masako ameongea mengi tu
 
Sio redio hiyo tu,takribani zote hazilipi
 
Wenye redio wengi kwa sasa wanajuta kuanzisha hiyo biashara. Mapato hakuna. Hakuna mtu mwenye akili timamu kwa nyakati hizi aache kutangaza mitandaoni na kwenda kwenye redio. Redio 5, Sunrise, na zingine za Arusha ninawashauri waachane nazo na kufanya mambo mengine. Hao wafanyakazi wa hizi redio ni ombaomba wenye vipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…