Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Kila ninaposoma hivi visa, huwa najiona kama na mimi nimo ndani. Thumb up boss..
Naomba ukiweza uwe unani tag.
 
Tayari Mkuu! Nimekutag kwenye machapisho yangu mengine ambayo hujayasoma..
Mkuu tofauti na hii story ya

Dan Cooper
Albert Spaggiarri
Carl Gagasian a.k.a mr. Friday night bank robber
Geranimo E.K.I.A ya Osama

Kuna story ipi nyingine?...kama zipo humu naomba unitag mkuu nizisome. Kiukwel navutiwa na makala zako big up and keep it up
 
Nashukuru sana Mkuu! Ngoja nikutag na kwenye story ya Leonardo Natarbartolo kama bado haujaisoma..
 
Chukua muda wako tafakari watu wangekua wanaandika uzi ka huu au unaoendana na huu tungekua mbali kimaarifa...... The bold shukran sana nmeongeza kitu ambacho cjawah kukijua katika kichwa changu
 
Chukua muda wako tafakari watu wangekua wanaandika uzi ka huu au unaoendana na huu tungekua mbali kimaarifa...... The bold shukran sana nmeongeza kitu ambacho cjawah kukijua katika kichwa changu
Asante, nashukuru sana Mkuu..
 
Kama kawaida, The Bold in his own standards. Japo umesahau kunitag ila Big up sana Kamkubwa.
 
Kumbe ni ya siku nying toka tareh 9. Sikupata notification.

Asante ngoja nikitulia niisome vzr.
Kila siku nilikua naangalia kama umeweka mpya. Nahis nimechelewaje kusoma uhii
 
Uhii asante nimemaliza.
Huu wiz hapana kwawel.

Mm wameniacha hoi kupita ktk mitalo tu

Kwel mwiz mwiz tu
 
Kumbe ni ya siku nying toka tareh 9. Sikupata notification.

Asante ngoja nikitulia niisome vzr.
Kila siku nilikua naangalia kama umeweka mpya. Nahis nimechelewaje kusoma uhii
Nimeweka siku nyingi nimekutag sijui kwanini notification hujaipata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…