Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Ama kweli usimdharau usiyemjua...
Hii pia imenifanya nitafakari 'vita' kubwa iliyokuwepo baina yetu (author The bold & I) mwaka jana.
Siamini kama ungekuja kuwa mtu ninayeheshimu masimulizi yake namna hii.
Nasikitika sikuona uwezo wako mkubwa wa akili kwa kipindi kile...
Leo hii wewe ni mmoja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu JF.

Hivyo basi....mkasa wa Spaggiari sio tu kwamba umeniburudisha,umenifunza pia.
Heshima kwako The bold [emoji119]
mimi nilianza kumwamkia shikamoo kwenye issue ya Mbasha na Gwajima!
 
Mimi enzi hizo alikuwa 'adui' yangu wala nilikuwa simfuatilii kabisa.
Nimekosa mengi basi [emoji86]
Hahaha!! Kwa kweli umekosa Mengi.. Ila mimi licha ya ule 'uadui' nilikuwa nafuatilia sana post zako [emoji1]
 
Hahaha!! Kwa kweli umekosa Mengi.. Ila mimi licha ya ule 'uadui' nilikuwa nafuatilia sana post zako [emoji1]
Nimeyafuta makosa yangu...nimetumia takribani masaa mawili kufuatilia yale niliyoyakosa.

Moja wapo ni kuhusu matapeli wa5 waliowahi kutokea Tzee.
Ila mbona unapenda story za kitapeli sana?
[emoji12] [emoji12]

Basi tunatofautiana...mimi ukishakuwa 'adui' yangu kama vile sikufuatilii kwa lolote.
Itabidi nibadilike aiseeee [emoji85].
 
[emoji12] [emoji12] [emoji23]
Ila sijui kwanini napenda stori za dizaini hiyo! Sijui nina 'upako' wa ushushushu
 
[emoji12] [emoji12] [emoji23]
Ila sijui kwanini napenda stori za dizaini hiyo! Sijui nina 'upako' wa ushushushu
Sitaki kuamini kama huu ni upako...you are [emoji108]
Honestly hii ndio sababu iliyonifanya 'nijirudi' kwako.
Ktk hili tuko na the same interest.
 
Sitaki kuamini kama huu ni upako...you are [emoji108]
Honestly hii ndio sababu iliyonifanya 'nijirudi' kwako.
Ktk hili tuko na the same interest.
[emoji15] [emoji15] ! I am [emoji108] ?? What's that hahaha

Hapana huu ni 'upako' tu
 
Hivi tukio lile la DB COOPER na hili la SPAGGRIAR lipi kali sana?
 
jamani natafuta partners,dili moja tu pasipo silaha wala ukatili
 
Back
Top Bottom