Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji
Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga kuiona supermarket pekee.
Majuzi baada ya Mheshimiwa kustaafu nashangaa mifuko myeusi imerudi Kwa kasi ya ajabu mno
Je ni katazo la kisiasa lilikuwa kwahiyo Majaliwa kaondoka na katazo limekoma au ni vipi?