Wewe ng’weng’we kila mada upo na ulikuwepo na leo una ng’ombe au wewe ndio ng’ombeHiyo mifuko sitaki kuiona iliniulia ng'ombe zangu baada ya kuila. Mifuko inazagaazagaa hovyo wala haiozi, ng'ombe akiila tu anapoteza maisha. Mfuko hauchakatiki tumboni mwa ng'ombe
Wapuuzi hawa wanataka kuleta taharukimifuko ya rambo meusi bado sijaiona huku mtaani, labda utume picha ila ile meusi ya kitambo kile huku mtaani hakuna
Viroba navyo vitarudi watu tufurahi na kusheherekea. Maza kama atarudisha viroba labda naweza kumsamehe.Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji
Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga kuiona supermarket pekee.
Majuzi baada ya Mheshimiwa kustaafu nashangaa mifuko myeusi imerudi Kwa kasi ya ajabu mno
Je ni katazo la kisiasa lilikuwa kwahiyo Majaliwa kaondoka na katazo limekoma au ni vipi?
Imerudi,amini kwamba soon itakufikia.mifuko ya rambo meusi bado sijaiona huku mtaani, labda utume picha ila ile meusi ya kitambo kile huku mtaani hakuna
mifuko ya rambo meusi bado sijaiona huku mtaani, labda utume picha ila ile meusi ya kitambo kile huku mtaani hakuna
Hata mie nimewaza hivyo, labda aseme vimfuko vya blue na vyeupee, wanaita parcel, hivi ndo vimejaaa teleee mtaani.mifuko ya rambo meusi bado sijaiona huku mtaani, labda utume picha ila ile meusi ya kitambo kile huku mtaani hakuna