safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mifumo imara inategemea watu waadilifu ili waifuate mifumo hiyo.
Unapokuwa na mifupo imara bila watu waadilifu mifumo itaharibiwa na hakuna atakayeweza kuwajibisha.
Ipo mifupo imara katika baadhi ya mambo lakini haifuatwi na mifumo hiyo ilhali ipo.
Tatizo la kutokufuata mifumo hiyo ni watu sio waadilifu hakuna kingine
Watu wanalia katiba inakanyagwa manake wanakubali katiba iko imara katika eneo hilo lakini haifuatwi inakeukwa
Hiyo maana yake mfumo hauna tatizo bali tatizo ni watu wenyewe sio waadilifu.
Chadema inalalamika covid 19 wapo bungeni sio kikatiba,manake hawakosoi katiba kuwa sio imara katika eneo hilo wanakubali kwamba katiba ama sheria iko sawa ila tatizo sheria haijafuatwa.
Hapo tatizo sio sheria ama katiba,tatizo ni watu sio waadilifu.
Solution hapo sio kubadilisha mfumo kwa sababu hata mifumo iyokuwepo inayokubaliwa ni mizuri bado inakeukwa na watu hakuna wanachofanywa zaidi ya kulalamika.
Solution ni kutengeneza watu kwanza sio mifumo kwa sababu hiyo mifumo mizuri ipo lakini haifuatwi.
Nyerere aliwahi kusema kwamba laiti atafuata hasa katikba ilivyo basi angelikuwa dikteta.
Mfumo ulikuepo wa kumruhusu kuwa dikteta lakini kwa uadilifu wake katika jambo hilo akaona sio busara kufuata katiba hiyo.
Hii maana yake ni kuwa uadilifu wa mtu unaweza kumfanya akaongoza vizuri ndani ya mfumo mbovu.
Na ukatili wa mtu unaweza ukamfanya aongoze vibaya ndani ya mfumo mzuri.
Hivyo mnachotakiwa kulia nacho ni uadilifu wa watu na wala sio kubadilisha mfumo kwanza ilhali watu wako vile vile.
Tukutane kwenye comment kwa majadiano zaidi