Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Huwa nikirudia neno moja mara nyingi huwa nakereka mkuu.Hhhh mkuu zimekutoa kqenye reli au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nikirudia neno moja mara nyingi huwa nakereka mkuu.Hhhh mkuu zimekutoa kqenye reli au
Mkuu nikiri kuwa umenielewa.Nakubaliana na mtoa Uzi kwamba mfumo wowote imara utategemea na utashi WA watu.
Vinginenevyo mifumo hiyohiyo inakiukika.
Hapa naliona pia jambo LA mindset.. Ambalo ni issue ya kizazi kizima.
Hahha.Hili neno bwana ni pana mno mpaka linakera (mfumo)
Au huenda kuna misinterpretation kwny neno lenyewe. Ama neno hili linatumika kama kisingizio.
Sasa tukubalianeni kwanza mfumo maana yake nini?
Ni sheria au katiba.au ni taratibu mnazokubaliana kujiwekea.
Au kuna zaidi ya hapo.maana Siku hz hata mtandao ukigoma Wa kununua luku tunaambizana mfumo haujakaa sawa.
Hata kwny muktadha ya soka Mara utasikia "tatizo sio kaze Bali ni mfumo"
Sasa mfumo ni nini?
Kama mfumo ni mkusanyiko WA both taratibu na sheria.
Bado sio mwarobaini
Tudeal na watu kwanza.Mkuu tu deal kwanza na mfumo then tuje tu deal na watu au unaonaje ??
Aiseeee watanzania hatujui huwa tunahitaji nini. Tulikuwa tuna lalamikia sana mfumo ubadilishwe kwa kuunda katiba mpya. Leo inataka kuundwa. Hamtaki mnataka kubadili watu. Watu walikuwa wananyooshwa na jiwe mkawa mnalialia...UKIWA UPINZANI HAIMANISHI KUBISHA KILA KITU, YAANI HATA UKIAMBIWA HAYA NI MAVI UTATAKA UYALAMBE KWANZAMifumo imara inategemea watu waadilifu ili waifuate mifumo hiyo.
Unapokuwa na mifupo imara bila watu waadilifu mifumo itaharibiwa na hakuna atakayeweza kuwajibisha.
Ipo mifupo imara katika baadhi ya mambo lakini haifuatwi na mifumo hiyo ilhali ipo.
Tatizo la kutokufuata mifumo hiyo ni watu sio waadilifu hakuna kingine
Watu wanalia katiba inakanyagwa manake wanakubali katiba iko imara katika eneo hilo lakini haifuatwi inakeukwa
Hiyo maana yake mfumo hauna tatizo bali tatizo ni watu wenyewe sio waadilifu.
Chadema inalalamika covid 19 wapo bungeni sio kikatiba,manake hawakosoi katiba kuwa sio imara katika eneo hilo wanakubali kwamba katiba ama sheria iko sawa ila tatizo sheria haijafuatwa.
Hapo tatizo sio sheria ama katiba,tatizo ni watu sio waadilifu.
Solution hapo sio kubadilisha mfumo kwa sababu hata mifumo iyokuwepo inayokubaliwa ni mizuri bado inakeukwa na watu hakuna wanachofanywa zaidi ya kulalamika.
Solution ni kutengeneza watu kwanza sio mifumo kwa sababu hiyo mifumo mizuri ipo lakini haifuatwi.
Nyerere aliwahi kusema kwamba laiti atafuata hasa katikba ilivyo basi angelikuwa dikteta.
Mfumo ulikuepo wa kumruhusu kuwa dikteta lakini kwa uadilifu wake katika jambo hilo akaona sio busara kufuata katiba hiyo.
Hii maana yake ni kuwa uadilifu wa mtu unaweza kumfanya akaongoza vizuri ndani ya mfumo mbovu.
Na ukatili wa mtu unaweza ukamfanya aongoze vibaya ndani ya mfumo mzuri.
Hivyo mnachotakiwa kulia nacho ni uadilifu wa watu na wala sio kubadilisha mfumo kwanza ilhali watu wako vile vile.
Tukutane kwenye comment kwa majadiano zaidi
Nini kifanyike kubadili watu?Tatizo sio CCM tatizo tumeona tatizo ni CCM.
Elimu yako plsMifumo imara inategemea watu waadilifu ili waifuate mifumo hiyo.
Unapokuwa na mifupo imara bila watu waadilifu mifumo itaharibiwa na hakuna atakayeweza kuwajibisha.
Ipo mifupo imara katika baadhi ya mambo lakini haifuatwi na mifumo hiyo ilhali ipo.
Tatizo la kutokufuata mifumo hiyo ni watu sio waadilifu hakuna kingine
Watu wanalia katiba inakanyagwa manake wanakubali katiba iko imara katika eneo hilo lakini haifuatwi inakeukwa
Hiyo maana yake mfumo hauna tatizo bali tatizo ni watu wenyewe sio waadilifu.
Chadema inalalamika covid 19 wapo bungeni sio kikatiba,manake hawakosoi katiba kuwa sio imara katika eneo hilo wanakubali kwamba katiba ama sheria iko sawa ila tatizo sheria haijafuatwa.
Hapo tatizo sio sheria ama katiba,tatizo ni watu sio waadilifu.
Solution hapo sio kubadilisha mfumo kwa sababu hata mifumo iyokuwepo inayokubaliwa ni mizuri bado inakeukwa na watu hakuna wanachofanywa zaidi ya kulalamika.
Solution ni kutengeneza watu kwanza sio mifumo kwa sababu hiyo mifumo mizuri ipo lakini haifuatwi.
Nyerere aliwahi kusema kwamba laiti atafuata hasa katikba ilivyo basi angelikuwa dikteta.
Mfumo ulikuepo wa kumruhusu kuwa dikteta lakini kwa uadilifu wake katika jambo hilo akaona sio busara kufuata katiba hiyo.
Hii maana yake ni kuwa uadilifu wa mtu unaweza kumfanya akaongoza vizuri ndani ya mfumo mbovu.
Na ukatili wa mtu unaweza ukamfanya aongoze vibaya ndani ya mfumo mzuri.
Hivyo mnachotakiwa kulia nacho ni uadilifu wa watu na wala sio kubadilisha mfumo kwanza ilhali watu wako vile vile.
Tukutane kwenye comment kwa majadiano zaidi
Mfumo ni watuMkuu tu deal kwanza na mfumo then tuje tu deal na watu au unaonaje ??
Tunarudi pale pale tungekuwa na mahakama imara huo ujinga usingetokeaKwa mujibu wa katiba wale wabunge 19 hawatakiwi kuwa wabunge kwa inavyosemwa.
Je huu mfumo unadhani ni imara sana mkuu ?
Uko sahihi kabisa!Hio kauli aliitoa Prof Assad kumpiga dongo Magufuli wakati akihojiwa na DW kuhusu mwenendo na mifumo ya serikali ya Tanzania.
Alisema ""Tanzania tunajenga na kuteua watu imara, ila hatujengi mifumo imara. Principle kuu ya maendeleo katika taasisi zilizoendelea duniani ni kuwa na "TAASISI IMARA" ambayo hata mjinga anaweza kuiendesha na isiyumbe, na sio kuwa "VIONGOZI IMARA WA TAASISI DHAIFU". Mfano kampuni ya Apple, ni taasisi imara ambayo hata viongozi wa juu wakibadilishwa na kuwekwa wengine inaendelea kuwa ni taasisi bora kibiashara.""
In indirect way alichomaanisha Prof Assad:- Magufuli anateua viongozi imara ila taasisi alizokuanazo si imara, unachagua kiongozi mzuri kwenda kuongoza taasisi mbovu. Kila siku utakua unamlaumu na kumwona hafai huyo kiomgozi uliemteua. Mfano wa bunge lilivyo dhaifu na kushindwa kuisimamia serikali kama sheria zinavyotaka.
Ni jambo ambalo linaendana sambamba na hoja ya mleta mada, Tanzania hatuna;
1) Hatuna Taasisi Imara.
2) Hatuna Viongozi Waadilifu.
3) Hatuna System Imara.
4) Hatuna Sheria Imara (Kila Siku Zinabadilishwa Kutokana Na Kasoro na Upitishwaji Wa Sheria Hizo Kwasababu Ya Muhemko Ya Viongozi Wa Juu - Mfano, Sheria Ya Takwimu, Sheria Za Habari, Sheria Za Kodi)