Mifumo imara bila watu waadilifu sio suluhisho, jenga watu kwanza

Hili neno bwana ni pana mno mpaka linakera (mfumo)

Au huenda kuna misinterpretation kwny neno lenyewe. Ama neno hili linatumika kama kisingizio.

Sasa tukubalianeni kwanza mfumo maana yake nini?
Ni sheria au katiba.au ni taratibu mnazokubaliana kujiwekea.

Au kuna zaidi ya hapo.maana Siku hz hata mtandao ukigoma Wa kununua luku tunaambizana mfumo haujakaa sawa.
Hata kwny muktadha ya soka Mara utasikia "tatizo sio kaze Bali ni mfumo"
Sasa mfumo ni nini?

Kama mfumo ni mkusanyiko WA both taratibu na sheria.
Bado sio mwarobaini
 
Nakubaliana na mtoa Uzi kwamba mfumo wowote imara utategemea na utashi WA watu.
Vinginenevyo mifumo hiyohiyo inakiukika.
Hapa naliona pia jambo LA mindset.. Ambalo ni issue ya kizazi kizima.
 
Nakubaliana na mtoa Uzi kwamba mfumo wowote imara utategemea na utashi WA watu.
Vinginenevyo mifumo hiyohiyo inakiukika.
Hapa naliona pia jambo LA mindset.. Ambalo ni issue ya kizazi kizima.
Mkuu nikiri kuwa umenielewa.

Sheria hizi za nchi ni kama mtu kaamua kujiwekea ratiba ya kusoma.

Kwamba jumatatu anasoma somo fulani,manake yeye ametunga ratiba ili aifuate.

Lakini siku inaweza kutokea asiifuate ile ratiba.na siku anaweza kuifata.

Ndio sheria zilivyo hizi zinavyolalamikiwa zimekeukwa kwamba tatizo sio sheria akwamba ni dhaifu,tatizo ni watu hawajawa tayari kuzifuata hizo sheria.

Kwa sababu hizo dhaifu pia hazifuatwi.
 
Hahha.

Mkuu mfumo niliokusudia mimi ni ule
Mkuu tu deal kwanza na mfumo then tuje tu deal na watu au unaonaje ??
Tudeal na watu kwanza.

Hawa watu ndo wanaunda huo mfumo.

Hivyo ku
 
Sema viongozi waadilifu, uongozi kwa mfano
Ndio mkuu ni viongozi waadilifu kwanza.

Wao waadilifu ndo wataleta mfumo mzuri na watakuwa wa mbele kufata mfumo huo.
 
Aiseeee watanzania hatujui huwa tunahitaji nini. Tulikuwa tuna lalamikia sana mfumo ubadilishwe kwa kuunda katiba mpya. Leo inataka kuundwa. Hamtaki mnataka kubadili watu. Watu walikuwa wananyooshwa na jiwe mkawa mnalialia...UKIWA UPINZANI HAIMANISHI KUBISHA KILA KITU, YAANI HATA UKIAMBIWA HAYA NI MAVI UTATAKA UYALAMBE KWANZA
 
Nini kifanyike kubadili watu?
Tunatakiwa tuanze sasa kuwafundisha vijana wetu na kuwajengea mindset nzuri juu ya uzalendo na uadilifu.

Usidhani kuwa ni jambo la mwaka au miaka miwili ni jambo la muda mrefu sana kujenga watu.
 
Elimu yako pls
 
Kama tunajenga taifa la Mungu sawa. Ila mifumo ikiwa imara watu wabaya hawawezi kupata nafasi
Kwa mujibu wa katiba wale wabunge 19 hawatakiwi kuwa wabunge kwa inavyosemwa.

Je huu mfumo unadhani ni imara sana mkuu ?
 
Inapendeza zaidi kuwa na mtu mzuri na mwadilifu ndani ya mfumo mzuri. Tusiongozwe tu na uungwana wa mtu, bali uungwana huo uwekwe kwenye mfumo - katiba!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…