britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wapi?Kwaio aliekamatwa sio wewe?
Kiburiii, dharau na majigambo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Waalimu ni kazi kama kazi nyingine, wazazi wangu ni waalimu lkn wamenizaa mm Dr na wamemzaa pia Lawyer Jitathimini hatimaye uache dharau!!Hata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. wamakaratasi lakini kichwani mweupe!Kiburiii, dharau na majigambo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Waalimu ni kazi kama kazi nyingine, wazazi wangu ni waalimu lkn wamenizaa mm Dr na wamemzaa pia Lawyer Jitathimini hatimaye uache dharau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambieni waache wanachokifanya kama hutaki ona hayo, hakuna jiwe litaachwa juu ya jiwe, Rais mpole sana huyu wallah, watambue tu wanajulikana na hata huo ulinzi wa kimtandao walowekewa na hao wanaowatumia kamwe hautawasaidia na ndo maana wanaendelea kutiwa nguvuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wanatumia software hahahahaha washauri TZ wako mbali kwenye technology. Au fanya kama Kinyungu yeye kila comment yangu lazima abonyeze dislike naye ni haki yake!Wangekuwa wanajulikana wangeshachukuliwa hatua, hata hao waliokamatwa ni kwakuwa ni verified user.
Kama wewe ni Dr mambo ya usalama huyajui kaa kimya Dr na vidonda hukoKiburiii, dharau na majigambo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Waalimu ni kazi kama kazi nyingine, wazazi wangu ni waalimu lkn wamenizaa mm Dr na wamemzaa pia Lawyer Jitathimini hatimaye uache dharau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wa ndegeWapi?
Britanicca feki labda, kwanza sina Kosa kwanini Nikamatwe, Sikuuona nipe link ya Uzi huoUwanja wa ndege
Rejea Kuna uzi umefunguliwa humu wasema britanica kakamatwa
Najaribu kuutafuta siuoni nadhan umefutwaBritanicca feki labda, kwanza sina Kosa kwanini Nikamatwe, Sikuuona nipe link ya Uzi huo