google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Pole sana kwa kuteswaNashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,
Unamkamata mtu umtese akupe habari za mwingine?
Aibu!!!
wanasema eti umekamatwa airport, nimeomba aliyeleta ule uzi awajibishwe maana that was name calling which is a grave mistake on JFNashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,
Unamkamata mtu umtese akupe habari za mwingine?
Aibu!!!
Nimejichanganya! Pole mkuu!Umeniquote Mimi au umejichanganya?
nawe jitokeze maana umekamata nchi unaogopa nini?Jibu hoja acha kutukana kama ungekuwa na uwezo ungejitokeza ili wajue kama unauwezo hata wakurusha teke moja!!
We mwenyewe kwenye comment yako umeeleza kwa kuwadharau au kuwashusha hadhi kitaaluma wazazi wako na kuonesha Dr. na Lawyer ni greater than'em!Kiburiii, dharau na majigambo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Waalimu ni kazi kama kazi nyingine, wazazi wangu ni waalimu lkn wamenizaa mm Dr na wamemzaa pia Lawyer Jitathimini hatimaye uache dharau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi situkani kama huyonawe jitokeze maana umekamata nchi unaogopa nini?
Sijakamatwa popote na wala uzi huo sijauona aiseewanasema eti umekamatwa airport, nimeomba aliyeleta ule uzi awajibishwe maana that was name calling which is a grave mistake on JF
Labda kama wameutoa maana niliwaambia kuwa wame reveal identity ya mtu wakaweka na picha kabisa ya mtu! We soma uone komenti hapa utaona ninachokwambiaSijakamatwa popote na wala uzi huo sijauona aisee
Mitandao ya kijamii imejaa story kuwa umekamatwa uwanja wa ndege DSM! Mnh........Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,
Unamkamata mtu umtese akupe habari za mwingine?
Aibu!!!
Nimezisikia hapa JF kuwa Nimekamatwa, maana sikuwa hewan , watakuwa wamemkamata Boya mwingine wakidhani ni Britannica 😂😂😂😂Mitandao ya kijamii imejaa story kuwa umekamatwa uwanja wa ndege DSM! Mnh........
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi kwingine Umeona story hizo?Mitandao ya kijamii imejaa story kuwa umekamatwa uwanja wa ndege DSM! Mnh........
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipi hakuna jambo kama hilo
Mkuu sijateswa, niteswe na Nani
Dua la Kuku halimpati Mwewe....Kigogo atabaki kuwa juu kileleni.
Kiburiii, dharau na majigambo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Waalimu ni kazi kama kazi nyingine, wazazi wangu ni waalimu lkdaaaaan wamenizaa mm Dr na wamemzaa pia Lawyer Jitathimini hatimaye uache dharau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Idara imejaaa wazee wabishi hawashauriki uanategemea nini mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechek kwa sautiiHata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app