Mifumo mingi ya Tanzania ni ya kizamani. Usalama kumtaka mtu mpaka watumie third party, why?

 
Hata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
eti Dada

sie walimu tumekukosea nini..

tambua hata Rais wetu naye ni Mwl tena wa Kemia...tunza heshima yako hata kama huna heshima

Umepitia kwenye mikono ya walimu...Jenga heshima kwao hata kama umefail tena maisha namna ulivyokuwa unafail shuleni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani kila Alie humu unamzidi Kuna watu Wana PhD za criminology ujue wewe fala.....!!!
 
Mkuu unajidanganya, fanya ujinga mkubwa ndio utaona uimara ya mifumo hiyo, ukiona kama usemavyo ujue ni inshu ya kawaida sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…