Hapo sasa kweli nyani haoni ..........Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
chadema wiziKumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
Wajinga wanaongezeka kwa idadiHapo sasa kweli nyani haoni ..........
CHADEMA mpo?
It is quite unwise to summarize it in brief; the discussion at hand pertains to trident connectivity with the National Electoral Commission. Are you able to demonstrate that CDM is covertly associated with the NEC database portal?Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
Kiufupi akili huna.Hahahaa
Hapo muunganiko ni upi?Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
Angalia hapo wewe CHADEMA wameweka mwanachama aweke kadi ya NIDA na Kitambulisho cha NECBUT haijaungwa INEC (Yaani tume ya uchaguz) CCM wameunga NIDA,INEC na CCM .Toeni ujinga hapa wa CHADEMA mbona bado wanawawasha .CCM na Partners wao CHAUMA na ACT wako busy na CHADEMA wakati hata uchaguzi hawapo wangekuwepo si tungekoma sisi wananchi DUU CHADEMA NJE YA ULINGO ARE STILL VERY POWERFUL
Wewe ndio hukuelewaHapo muunganiko ni upi?
Kumbe hata hukuelewa kilichoongelewa na HP ??
Em pata madini hapa uelimike..
👇
![]()
Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki
TZ Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa ) Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura...www.jamiiforums.com
Ndio maana hata darasani kuna baadhi ya wanafunzi huwa hawaelewi hata wakifundishwa kwa kutumia alama au picha.Angalia hapo wewe CHADEMA wameweka mwanachama aweke kadi ya NIDA na Kitambulisho cha NEC
Huna macho au ?
Kuwa lazima uweke vyote cha NIDA na cha Mpiga kura vyote visimane
Kwa nini wameweka lazima mtu aweke NIDA na Kitambulisho cha NEC?
Kweli nyani haoni ......
Kinamuwasha kishenzi hahhahaaahhUmelalwa lini mara ya mwisho
Wakati tunaimba hizi nyimbo, chiembe alikua porini anabaka panzi.Asiyependa shule ni mjinga kabisa,
Huyo huyo huyo ni mjinga kabisa,
Asiyependa shule ni mjinga kabisa,
Huyo huyo huyo ni mjinga kabisa,