GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Angalia hapo wewe CHADEMA wameweka mwanachama aweke kadi ya NIDA na Kitambulisho cha NEC

Huna macho au ?

Kuwa lazima uweke vyote cha NIDA na cha Mpiga kura vyote visimane
Kwa nini wameweka lazima mtu aweke NIDA na Kitambulisho cha NEC?

Kweli nyani haoni ......
Hakuna kitu kama hicho wewe msitengeneze vitu vya kufikirika ,hivi CHADEMA wangeachwa si ungesikia msajili anawafutia usajili faster weweww
 
Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
View attachment 3453786
chadema wengi ni malofa sana
ndio maana hubebwea ufala wa kifikra kwa urahisi sana na misukule kama h.polepole au askofu fuska wa kurekodi video za ngono gawajiboy :NoGodNo:
 
chadema wengi ni malofa sana
ndio maana hubebwea ufala wa kifikra kwa urahisi sana na misukule kama h.polepole au askofu fuska wa kurekodi video za ngono gawajiboy :NoGodNo:
Chadema wapumbavu sana
 
Elimu Elimu Elimu.

Kasome kwanza API maana yake ni nini ,pili soma kuhusu Endpoints/URLs Ukishajua hapo then njoo kwenye concept ya polepole.

HP amesema SISIEMU wana direct connection kwenda NEC na Kwenda NIDA kuna connection yaani P2P...Soma tena P2P maana yake nini.

Banks and other Entities like CDM wao wanatumia APIs kuaccess info ,Kuna Thirdparty(Mtu kati) ndiyo anawalink wote hao wanaotaka taarifa za NIDA na wote wana Sync kutoka kwake.
 
Mtu kama huyu huwa anavuka barabara salama kabisa bila kusaidiwa, ama hakika Mungu yupo.​
 
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
National ID mbona kila sehemu duniani wanakuuliza?
Watajuaje kama wewe mzawa?

Mimi sina chama Africa
 
Back
Top Bottom