Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Wanawake ni mashetani kuliko Lucifer mwenyewe, kaka yangu anateswa na Lucifer wake mpaka na mimi naogopa kuoa.
Huna akili ndo maana unaogopa....
Ukoo wako wote hamna mifano ya ndoa nzuri?? Kama hamna basi ni mna kizazi cha kishenzi
 
Hizo huduma unazosema ikiwemo sex ndo nikulipe mali zangu nusu tukiachana? Inamaana mwanaume hakutoa nguvu zake na pesa zake kwa huyo mwanamke kuanzia kulipa mahari, kugharamia harusi, send-off na kumtunza mwanamke kwa gharama, kwanini hizo hazihesabiki kama mchango wa mwanaume ktk ndoa? Kwanini unahesabika mchango wa mwanamke tu? Na gharama alizopoteza mwanaume zinafidiwa vipi?

Nikiwa nimeweka housegirl kuna haja ya kukulipa 50% ya mali? Halafu unavyotetea hiyo sex, kwani tukifanyana, nawewe hupati raha? Kwanini nikulipe? Hebu jibu hayo maswali, mwisho maisha yangu binafsi hayakuhusu.
 
Huo ni utapeli uliohalalishwa tu.
 
Na hapa ndio mimi huwa nakataa suala la mgawanyo 50/50. Kama mwanamke anapewa fidia ya kutoa uroda, kupika chakula, kufanya usafi nyumbani kwangu je kipindi anafanya hayo majukumu yeye alikua anashinda njaa? Alikua haishi hapo? Kama suala ni fidia basi mwanamke nae anatakiwa kutoa fidia ya kupewa chakula na makazi kipindi chote cha ndoa.
 
Jibu swali kwanini mnataka wanawake wawasaidie jukumu lenu ilihali ninyi hamtaki kuwasaidia ya kwao
Tatizo lako wewe unapenda vita hata ambapo hakuna ulazima. yaani hapa wewe shida yako ni kulazimisha tu mume aingie jikoni kupika. mke wangu anaenda kazini kwaiyo anakosa muda wa kutimiza majukumu ya nyumbani tutaajiri house girl sio lazima mimi nioshe vyombo au nipike
 
Siku hizi watu hawasubiri ndoa wanajizalia tu....
Na huko mbele wanawake wataanza nunua sperms, ni swala la muda tu
Mnajipa moyo tu. Ingekua ivyo msingejazana kwa mwamposa au kwenda kwenye upepo wa kisulisuli kutafuta mume
 
Huna akili ndo maana unaogopa....
Ukoo wako wote hamna mifano ya ndoa nzuri?? Kama hamna basi ni mna kizazi cha kishenzi
Kwa majibu hayo, kama umeolewa, basi aliyekuoa akapimwe akili.
 
Ndo hapo sasa hilo hawafikirii, sheria irekebishwe, watu wakiachana, kila mtu aondoke na alichokuja nacho, haina haja ya kumlipa mtu kwaajili ya kazi ambazo ni majukumu yake. Wanawaza miserereko tu ndomaana hata wanakosa akili ya kujitafutia vya kwao mabosi wa Lucifer hawa, hata Lucifer anawaogopa wasije wakaipindua serikali yake.
 
Kwny ishu ya mahusiano uko sahihi, mwanaume inakula kwake big time.

Ila kwenye masuala ya kurithi mali, elimu ambayo inakuja kuresult kwny ajira, mwanamke anadhulumika.
 
Mwanamke ukishamzalisha Watoto wengi kwisha habari yake, hata mgawane pasu Kwa pasu Mali zitabakia kuwa za Watoto tuu, hakuna zitakapokwenda

Chamsingi wapende Watoto wako na iheshim familia yako, zikirudi Kwa Watoto Bado ni zako mtazifaidi wote
 
Ukizaliwa mwanaume we ujue Kila kitu kwako itakuwa ni tabu...

Huu wimbo ulimaliza Kila kitu.
Kwa mtindo huu ndo maana wanaume wanatamani wawe wanawake na idadi ya mashoga inaongezeka. Kumbe mfumo ndo unatengeneza mashoga bila kujua,

Kwa mtindo huu mashoga wasilaumiwe hawana makosa, hata mbinguni watasamehewa na wataiona pepo.
 
Mhh una madini matamu
 
Reactions: Tsh
Kwny ishu ya mahusiano uko sahihi, mwanaume inakula kwake big time.

Ila kwenye masuala ya kurithi mali, elimu ambayo inakuja kuresult kwny ajira, mwanamke anadhulumika.
Mwanamke anadhulimika kivipi kaka naomba nieleweshe
 
Kwahiyo kunipa K ndo kitu cha maana ?
Kama yeye hapati hiyo raha aisee.
Akati mkigegedana na yeye anaskia utam vile vile na usipomtimizia anakusaliti nje vile vile.
Huyu mtu asikupotezee muda kichwa bumunda hiko.
 
Kwanza kabisa mgawanyo wa mali ni kwa sababu mkiachana mara nyingi mke ndio hubaki na watoto, sasa unataka watoto wako waendelee kuhudumiwa na nani maana kumbuka mama ataendeleza gurudumu la kuwalea, kama mume atabaki na watoto basi hakutakuwa na mgawanyo wa mali unless kama mlichuma wote hapo kugawana kupo pale pale
 
Hoja yangu ni kwanini majukumu ya nyumbani yaendelee kuonekana ya mwanamke peke yake ilihali ya kutafuta pesa yanaonekana ni ya wote, si lazima mwanaume aingie jikoni sawa mnaweza mkaweka msaidizi lakini mbona pamoja na kuweka msaidizi bado huwa mnataka mwanamke asimamie au asaidie na asipofanya hivyo visingizio vya kuchepuka vinaanza, usijiongelee wewe tu hapa tuongelee uhalisia uliopo kwa wanaume wengi yani wanaume wengi wanataka lazima wake zao wajihusishe kwenye majukumu ya nyumbani hata kama nao wanatafuta pesa utasikia "sasa nimeoa mke wa kazi gani"
 
Kwa majibu hayo, kama umeolewa, basi aliyekuoa akapimwe akili.
Kakojoe ulale nyang'au wewe...
Mwanaume kuweza kuwa na familia ni kipimo cha ukomavu wa akili.

Ila vivulana vipumbavu kama nyie msivyoweza hata kuongoza familia mnakaa kupiga piga kelele humu jf

Unavimbisha na mapua ati siwezi oa my brother nyokonyoko... umeshikiwa akili wewe???? Bure kabisa

Watoto wangu wa kiume hawawezi kuwa mapimbi hivi sababu baba yao sio boya na haongozwi na mihemko

Kiongozi wa nchi tu lazima awe na mke au mume, halafu zero brain unakuja kudharau wanawake

Mama yako alijitesa tu na limimba lako

Cc Natafuta Ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…