Ni kweli. Tunaongelea mambo ya mamiaka na miaka yajayo baada ya kutokea mambo mengi mno. Hili si suala la wewe au wajukuu kushuhudia. Tutakachoshuhudia ni jinsi tunavyoilazimisha nature kufanya maamuzi.Hii inaweza isitokee mapema kwasababu dunia hii idadi ya watu ishakuwa kubwa hesabu zinataka tupungue kwa usalama wa baadae, kwahiyo wataona bora wanaume tuwe wachache ili uzao uwe kidogo
Suala la kuongezeka kwa single mothers nalo limeshamili sana sasa hivi. yaani sasa hivi kila binti ana mtoto wengine wamepeleka watoto mikoani uko kwa bibi zao ili wapate uhuru wa kudanga.Hii sera ya 50/50 hakika ni mbaya sana hasa kwa huu ukanda wa Africa. Imezalisha single mothers wengi sana ambao hupelekea watoto kuwa na maadili mabovu sana na ndio maana vijana wengi huangukia kwenye umalaya na ushoga.
Malezi ya mwanaume kwa mtoto ni ya mwanaume tu ndugu zangu hili wanawake inabidi walitambue.
Mkuu ulimwengu una muingiliano mkubwa sana kwa sasa uyo mwanamke ana smartphone, anaangalia tv, ana mashoga zake n.k hata akiwa mtiifu kwako hakuna guarantee ya kusema atabaki kuwa ivyo ivyo siku zoteMtoa mada umesahau kutambua kwamba kila mwanaume anatakiwa aitengeneza Dunia yake mwenyewe na kuiishi......owa mwanamke type yako" utakayeweza kumkontroo kimwili, kiroho na kiuchumi
Haya mambo ya 50/50 yapo humu mitandaoni,...90% ya wanawake duniani hawana taarifa nayo ... ni wewe vile unavyoweza kuchagua na kum-shape to fit in ...in your life (if you have that life)
Nb. Tikisa kichwa kwa nguvu kidogo utanielewa.
Naona kama kuna kitu kinakung'ang'ania kichwani.. Tumalize hivi both administrative na leadership skills zina matter..Muhimu zisizidiane .Ukishaogopwa huwezi kuwa na washauri. Kinachotokea ni unazungukwa na watu wanaojua unataka kusikia nini na wanasema.
Mara nyingi watawala wanaoogopwa lazima wana kundi nyuma yake wasiomugopa wanaomlinda, hawa huwa hana mamlaka kwao, ila wana objective zinazofanana zenye mlengo wa kutawala. Hawa tu ndo wanaweza kushauriana ila watashauriana kutimiza objective zao za kiutawala.
Wengine wote hawashauri, wanajua mtawala anachotaka kusikia na wanakisema kama ushauri.
Ok.Naona kama kuna kitu kinakung'ang'ania kichwani.. Tumalize hivi both administrative na leadership skills zina matter..Muhimu zisizidiane .
Ushauri wangu upo hapo kwenye aya nne za mwishoMleta mada unashauri nini?
Wanawake wa mwanzo waanzilishi wa kudai haki za wanawake walielewa kuwa mabadiliko hayahitaji lelemama, wakatengeneza platform ya kusikika, kwa kuanza wakaanza na hatua kubwa sana yakuweka mkutano Beijing, wapaze sauti wapate kusikika ulimwenguni. Hata hivyo haikuwa rahisi wakapewa majina ya kila aina.Ushauri wangu upo hapo kwenye aya nne za mwisho
Sikatai mwanamke kupewa haki. Kinacholeta mkanganyiko ni hii kasumba ya wanawake kuwa vigeugeu. Wanataka usawa kwa sababu ya 50/50 ni kitu kizuri hakina shida ila lazima utambue kwamba usawa unakuja na wajibu yaani kama zamani ulikua unawekwa kando kwenye suala la ajira na kusubiri kuhudumiwa na mwanaume sasa hivi umepewa nafasi kwenye kinyang'anyiro cha ajira maana yake lile takwa la mwanaume kukuhudumia litaondolewa. Sasa mwanamke anataka usawa kwa kigezo cha 50/50 lakini zile privelages alizokua anazipata kutoka kwa mwanaume including kuhudumiwa hataki kuziachia ndipo hapa harakati za 50/50 zinaonekana ubabaishaji fulani tu wa kutaka mseleleko.Wanawake wa mwanzo waanzilishi wa kudai haki za wanawake walielewa kuwa mabadiliko hayahitaji lelemama, wakatengeneza platform ya kusikika, kwa kuanza wakaanza na hatua kubwa sana yakuweka mkutano Beijing, wapaze sauti wapate kusikika ulimwenguni. Hata hivyo haikuwa rahisi wakapewa majina ya kila aina.
Now, mabadiliko ya hizo sheria hamuwezi kuyapata kwa kuandika JF, Y’all need to act, mtumie mifumo kumanipulate changes etc etc. Ni wakati wenu sasa wa kudai usawa, if at all mnaona mnaonewa.
Wazaramu wanasema tembo hakipita hiyo njia ipo siku atarudi kwenye hiyo njia haijarishi miaka mingapi. Nature always take is course. Wanajisumbua tu.Nature find its way always, in the end mwanaume atarudi on top
Great thinker! Congrat mkuu.... Jinsia ya kiume ina vita sana. Mashoga yote ni sera ya 50/50.Hii sera tulikosea sana wa Africa, lkn ukweli ni kwamba hii sera imelenga kulinda malengo ya wazungu wakiamini ya kwamba wanawake wakiwa kwenye madaraka kwa udhaifu wao wa kijinsia hawata weza kutaa matakwa yao wazungu.
Refer thread iliyo kuja hapa kuwa Africa inatakiwa iendelee kuwa provider wa raw material forever.
Yaani Africa kuna makosa kibao tumeyafanya kwa kupkea sera za wa Zungu, mfano democracy wanayo imba ni kutaka kuweka watu wao watako kuwa week, na isinge kuwa wanataka tuendelee kuzalisha raw materials nadhani wangeweza hata kutuua lkn ndio hvyo wanashindwa maana kazi tunazo fanya sisi wao hawawezi
Well tafuta namna nyingine ya kuliaddress thenKu-address tatizo lililopo kwenye jamii sio kulalamika.
Wewe unaonaje mkuuSwala la decline birth rate lina mahusiano na women empowerment ?
Mimi naamini kama jambo kwenye jamii watu hawalifurahii basi watatafuta kila namna ya kuliondoa, ukiona watu hawataki kuhangaika kuliondoa au jukumu la kuliondoa wanaisakizia jinsia nyingine wakati ni wao ndio wanaolalamika, basi ujue hao watu hawako serious na hawana haki ya kumlaumu yeyote sababu wana uwezo wa kuchukua hatua ila wameamua kutegeana na kushindanaTunachoongelea ni usahihi wake sio mazoea ya kusema kama yametoka uko lazima yawe implemented na hapa. Najua threads mbili tatu haziwezi kuleta mabadiliko ya jumla lakini kuna wawili watatu wataamka. Uko magharibi ambapo sera ya 50/50 imetoka wapenzi wakitoka out ni jukumu la kila mmoja kulipa bill nusu kwa nusu je hii 50/50 itafanya kazi tukiileta bongo ambapo wadada washaaminishwa monetary expenses zote ni sharti ziwe sponsered na mwanaume ? Uko magharibi sio ajabu kukuta mke ajui kupika na mume ndio anaingia jikoni je 50/50 itqfanya kazi hapa bongo ambapo wanaume tumeanishwa mambo ya jikoni ni ya wanawake.. tusiangalie tu kwa sababu inqfanyika magharibi basi ni sharti iletewe hapa tuangalie pia usahihi wa kimazingira je inawezekana ikawa implemented hapa?
Wewe ndio umeandika ukweli, ndio maana mimi huwa siwaamini wanaume wanaolalamika na kusema wao ndio wana jukumu kubwa na zito kuliko wanawake, jukumu lenyewe eti kutafuta pesa tu ambalo siku hizi wanawake wengi nao wanalifanya na huku wana ya kwao mengine yanawasubiri ambayo wanaume wengi hawataki kuyagusaSio kweli napingana nayo hizi tabu sijawahi ziona maisha yangu yote na ni mume wa mtu mwenye watoto.
Mimi naona kuvuja damu kila mwezi ndio tabu zenyewe, huli hadi unyanduliwe hizi ndio tabu zenyewe, hupewi mchongo bila kuvuliwa chupi hizi ndio tabu zenyewe.
Kifupi alie waambia wanaume tunapata tabu anawadanganya.
Mwanaume kupata tabu au kutopata tabu ni machaguo yake.
Ila kuvuja damu kila mwezi uwe unapenda au hupendi utavuja tu.
Ishu sio kutafuta pesa ishu ni kukubaliana nani anawajibika ku-provide monetary expenses katika ndoa/mahusiano. Wanawake wamepewa access zote za kujipambambania kama elimu, kumiliki mali, kufanya biashara, nafasi ya uongozi kisiasa n.k lakini linapokuja suala la ku-provide monetary expenses bado wanaamini ilo ni jukumu la mwanaume peke ake.Wewe ndio umeandika ukweli, ndio maana mimi huwa siwaamini wanaume wanaolalamika na kusema wao ndio wana jukumu kubwa na zito kuliko wanawake, jukumu lenyewe eti kutafuta pesa tu ambalo siku hizi wanawake wengi nao wanalifanya na huku wana ya kwao mengine yanawasubiri ambayo wanaume wengi hawataki kuyagusa
Naunga mkono hoja mkuuHii sera tulikosea sana wa Africa, lkn ukweli ni kwamba hii sera imelenga kulinda malengo ya wazungu wakiamini ya kwamba wanawake wakiwa kwenye madaraka kwa udhaifu wao wa kijinsia hawata weza kutaa matakwa yao wazungu.
Refer thread iliyo kuja hapa kuwa Africa inatakiwa iendelee kuwa provider wa raw material forever.
Yaani Africa kuna makosa kibao tumeyafanya kwa kupkea sera za wa Zungu, mfano democracy wanayo imba ni kutaka kuweka watu wao watako kuwa week, na isinge kuwa wanataka tuendelee kuzalisha raw materials nadhani wangeweza hata kutuua lkn ndio hvyo wanashindwa maana kazi tunazo fanya sisi wao hawawezi
Wao kila mahala wanataka battle ya usawa, haiwezekaniTulikosea sana kuipokea hii sera ya 50/50 mbaya zaidi jukumu la kuieneza tukawaachia mafeminia vilaza wa type ya joyce kiria.