Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ni kweli. Tunaongelea mambo ya mamiaka na miaka yajayo baada ya kutokea mambo mengi mno. Hili si suala la wewe au wajukuu kushuhudia. Tutakachoshuhudia ni jinsi tunavyoilazimisha nature kufanya maamuzi.Hii inaweza isitokee mapema kwasababu dunia hii idadi ya watu ishakuwa kubwa hesabu zinataka tupungue kwa usalama wa baadae, kwahiyo wataona bora wanaume tuwe wachache ili uzao uwe kidogo