Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Mnapokuwa na ego ndio mnaona mke kumtii mume ni jukumu lake.....mada yako unapinga favour tunayopewa wanawake hapo hapo unaonyesha jinsi ego zenu zinavyojaribu kumkandamiza mwanamke na kumpotray kama weaker being, eti mke kumtii mume ni gender role...nonsense!..
Ukandamizaji uko wapi dada angu? Utiifu ninaouongelea ni ile heshima ambayo unapaswa kuonesha kwa mme wako vile vile siungi mkono wanaume wanaowakandamiza/wanyanyasa wake zao. Mfano unaangalia movie mumeo akaja sebuleni kukusemesha kibusara unatakiwa kuweka pause movie na kumsikiliza kwanza mumeo anasema nini au dada wa kazi kapika chakula wewe mke kumtengea mumeo chakula kwenye stuli sebureni au dining room haiwezi kuku-cost chochote. Ninavyosema mke anawajibika kumtii mumewe simaanishi kwamba mwanaume akimkandamiza au kumnyanyasa mkewe ni sawa. Mwanaume pia anajukumu la kumuheshimu na kumpa mkewe haki zote za kibinadamu. Narudia tena hakuna popote nilipounga mkono ukandamizaji/unyanyasaji wa wanawake.
 
Mke kumtengea mume chakula kilichopikwa na housegirl, sawa,na mume atamtengea mkewe chakula lini? Umesema haimcost mke,mume je? Inamcost? ..mnawatumikisha wake zenu wakiachana na nyinyi mnaona wanapendelewa kny mgawanyo....

Kuzima TV kumsikiliza mtu ni heshima hata mtaani utapewa na watu, hata wewe unapaswa kufanya hivyo kwa mkeo, is either hujui maana ya kitu ulichosema mwenyewe 'gender roles ' ama you are good at spinning....kama ni respect jua kwamba ina operate in a principle of reciprocity!
 
Heshima na majukumu ya kimaadili kila upande unawajibika ilo sipingani nalo kabisa. Huwezi ukamtaka mmeo akutengee chakula maana inajulikana huo ni wajibu wa mwanamke vivyo hivyo yanapotokea majukumu yanayoitaji nguvu mfano gari ya familia imepata hitilafu labda tusemale pancha haiwezekani mume akamwambia mkewe abadilishe tairi maana inajulikana ilo ni jukumu la mwanaume au kaingia mwizi ndani ya nyumba haiwezekani mume akamwambia mkewe aende kupambana nae Gender roles sio utumwa ni wajibu ambao unakuja automaticaly tu kutokana na misingi ya jamii iliyokukuza., unachotaka kusema hakiwezekani kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba mume amtengee mkewe chakula.! msilazimishe mambo ambayo mnajua kabisa hayawezekani
 
Ukizaliwa mwanaume we ujue Kila kitu kwako itakuwa ni tabu...

Huu wimbo ulimaliza Kila kitu.
Kila kitu kinakuja na sideeffect..single mothers, lesbians, unajiridhisha na dildos na matango si mnataka 50/50..
 
Hizo ulizotaja awali ikiwemo kazi za nyumbani na kunipa K, nimekupinga kuwa hazina mantiki kwasababu ni jukumu la mke kufanya kazi za nyumbani na kunipa K, kwanini nimlipe nusu ya mali? Mlitegemea K anipe nani? Na raha ya sex tunapata wote, kwanini nikulipe? Au ulikuwa unajiuza kwangu? Pia mwanaume pesa alizopoteza kuanzia kulipa mahari na kugharamia harusi send-off na kumtunza mwanamke, anafidiwa na nani? Assume tumekaa miaka mitatu hatuna mtoto, sasa hoja hizo hujajibu mpaka sasa.
Ndio maana nikakuambia ni either hujaelewa au umeamua tu kukaza fuvu lakini maswali yako nimekujibu vizuri tu, katika case kama hiyo utatakiwa kugawana mali na mke wako kwa kigezo cha muda uliomfuja ambao alitakiwa autumie kutafuta pesa kama wewe lakini badala yake akautumia kufanya hayo majukumu, kwahiyo maana yake ni kwamba mkiachana wewe utakuwa na pesa au mali au kazi au biashara za kukufanya uendelee kujikimu kimaisha ila mkeo atakuwa hana hivyo vitu kama wewe kwahiyo hawezi kuachwa mikono mitupu akaanze upya wakati muda aliotakiwa ajitafutie hivyo vitu ulimfuja wewe

Kuhusu mahari nafikiri umekomalia tu hilo suala bila kujua sababu ya kutoa mahari mahari ina sababu kadhaa ila kubwa ni kama fidia kwa familia ya mke kwa sababu kwa tamaduni zetu, mwanaume akioa familia yake inahesabika imegain ilihali mwanamke akiolewa familia yake inahesabika imelose kwa sababu mke na watoto wataenda kutumia majina ya mume na kuendeleza ukoo wa mume jambo ambalo ni hasara kwa ukoo wa mke, ndio maana wazee wetu wa zamani walikuwa hawapendi kuzaa watoto wa kike walikuwa wanapenda wa kiume tu kwa sababu hiyo ya kuendeleza jina la ukoo maana kwa tamaduni zetu kuendeleza jina la ukoo inaonekana ni kitu chenye heshima sana

Wewe ndio maana nikakuambia hujaoa ila nakushangaa unasema maisha yako binafsi hayanihusu ndio hayanihusu sasa mbona unaandika uongo na vitu usivyovijua halafu unataka nikubaliane tu na wewe, acha kuandika mambo usiyoyajua kuhusu ndoa vinginevyo lazima nikuhoji tu yani unakomaa kutunga assumptions zako mradi tu utetee uongo wako, ungekuwa umeoa ungekuwa unajua maana ya mahari na ungejua pia kwamba send offs pamoja na kitchen parties siku zote hugharamiwa na familia ya mke na si ya mume na huwa hazina ulazima wala umuhimu sana mnaweza msifanye
 
Sibishani sana na mtu anayevuja damu kila mwezi, ngoja niishie hapo.
Kwani kuolewa ndio Nini na wewe? Lazima Kwani? Kachukue madesperado ya kuolewa ndio uhangaike nayo mpuuzi we!
 
Ndio maana nikakuambia ni either hujaelewa au umeamua tu kukaza fuvu lakini maswali yako nimekujibu vizuri tu, katika case kama hiyo utatakiwa kugawana mali na mke wako kwa kigezo cha muda uliomfuja ambao alitakiwa autumie kutafuta pesa kama wewe lakini badala yake akautumia kufanya hayo majukumu, kwahiyo maana yake ni kwamba mkiachana wewe utakuwa na pesa au mali au kazi au biashara za kukufanya uendelee kujikimu kimaisha ila mkeo atakuwa hana hivyo vitu kama wewe kwahiyo hawezi kuachwa mikono mitupu akaanze upya wakati muda aliotakiwa ajitafutie hivyo vitu ulimfuja wewe

Kuhusu mahari nafikiri umekomalia tu hilo suala bila kujua sababu ya kutoa mahari mahari ina sababu kadhaa ila kubwa ni kama fidia kwa familia ya mke kwa sababu kwa tamaduni zetu, mwanaume akioa familia yake inahesabika imegain ilihali mwanamke akiolewa familia yake inahesabika imelose kwa sababu mke na watoto wataenda kutumia majina ya mume na kuendeleza ukoo wa mume jambo ambalo ni hasara kwa ukoo wa mke, ndio maana wazee wetu wa zamani walikuwa hawapendi kuzaa watoto wa kike walikuwa wanapenda wa kiume tu kwa sababu hiyo ya kuendeleza jina la ukoo maana kwa tamaduni zetu kuendeleza jina la ukoo inaonekana ni kitu chenye heshima sana

Wewe ndio maana nikakuambia hujaoa ila nakushangaa unasema maisha yako binafsi hayanihusu ndio hayanihusu sasa mbona unaandika uongo na vitu usivyovijua halafu unataka nikubaliane tu na wewe, acha kuandika mambo usiyoyajua kuhusu ndoa vinginevyo lazima nikuhoji tu yani unakomaa kutunga assumptions zako mradi tu utetee uongo wako, ungekuwa umeoa ungekuwa unajua maana ya mahari na ungejua pia kwamba send offs pamoja na kitchen parties siku zote hugharamiwa na familia ya mke na si ya mume na huwa hazina ulazima wala umuhimu sana mnaweza msifanye
Yaani hoja zako hazina mantiki hata kidogo, mke kufanya kazi za nyumbani ni kwamba ni kumfuja? Majukumu yake baada ya kuolewa ni yapi sasa? Kwahiyo wewe umeolewa ili ufujwe? Wewe unatakiwa kujibu hoja umnazoulizwa na siyo kutoa gazeti ambalo natafuta point ya maana siioni.

Haya umezalisha swali jipya, nikimruhusu afanye kazi, je tukiachana hatutagawana mali zangu kwasababu sikumfuja (kwa lugha uliyotumia)

Maswali ya mwanzo ambayo hujayajibu mpaka sasa, je nikiajiri housegirl akawa anafanya kazi zote, tukiachana kuna haja ya kukulipa? Maana aliyefujwa ni house girl.

Kingine, kwani mwanaume kumhudumia mkewe gharama za kula, malazi, matibabu, mavazi na vingine, kwanini haujahesabu kama mwanaume kafujwa pesa zake? Nayeye atapataje fidia ya kufujwa kutoka kwa mkewe baada ya kuachana?

Ukija tena njoo na majibu ya hayo maswali moja kwa moja bila kuzunguka zunguka.
 
Au nuquotie ni wapi umejibu swali la mwanaume anafidiwa vipi muda na pesa alizopoteza kwa mke baada ya kuachana, pia niambie majukumu ya mke kwenye ndoa ni yapi.
 
Nilishakueleza sababu za mgawanyo wa mali yaweza moja kati ya hizi au zote kwa pamoja

Kuchuma mali pamoja
Kama mkeo atakuwa anafanya kazi basi maana yake utakuwa haumhudumii, na lazima kuna bills za hapa na pale alikuwa anakusaidia kwahiyo inahesabika kama mmechuma wote, hivyo mkiachana mtagawana mali kwa hicho kigezo

Mke kufanya majukumu ya nyumbani na kulea watoto
Hayo majukumu ya mke yanakuja na wajibu juu yake ya kumhudumia, kwa sababu huo muda anaoutumia kufanya hayo majukumu alitakiwa naye awe anatafuta pesa, ili siku mkiachana awe na kitu cha kuanzia maisha

Kubaki na watoto
Ndoa nyingi watu wakiachana mke ndio hubaki na watoto, ambapo ataendeleza gurudumu la malezi huku mwanaume akiwa free tu, sasa unataka huduma za watoto nani ahusike nazo

Wajibu wa mke kwa mumewe
Tamaduni zetu zinaamini kwamba mwanaume anapooa basi mke kazi yake ni kuhakikisha anamlea, anamtunza, anamliwaza na anamfariji mumewe pale anapokuwa na msongo wa mawazo, hiyo inamfanya mwanaume apate moyo na awe na juhudi zaidi ya kutafuta pesa, ambapo wanaamini mke asipofanya hayo basi mume utafutaji wake utakuwa wa kusuasusua

Sasa whether huko ndani ya ndoa mke alikuwa anatimiza hayo au hatimizi hilo haliwahusu, wenyewe wanaassume kwamba mwanamke aliyeolewa lazima anatimiza hayo majukumu ambayo kwa namna moja au nyingine, lazima tu yatamfanya awe na haki ya kugawiwa nusu ya mali zilizopatikana ndani ya ndoa

Sasa kwa mantiki hiyo wewe ulitaka ufidiwe nini hapo au labda nikuulize kama mwanamke alikuwa hatafuti pesa na alikuwa anatimiza majukumu yake, siku mmeachana hana pesa wala mali wala kazi wala biashara unategemea anapata kipi cha kufidia muda ambao alitakiwa atafute kama wewe, by the way nenda kasome sheria za ndoa na mgawanyo wa mali mimi mwenyewe siko kwenye ndoa but atleast nafuatilia baadhi ya mambo na najaribu kukuelezea katika uhalisia wake ila wewe unajadili kwa mihemko na kulazimisha assumptions zako ndio ziwe sahihi
 
We jamaa unapenda ligi.
Kama umeshindwa hoja sema acha hizi porojo za kusema napenda ligi, wewe ungekuwa hupendi ligi tusingefika hapa ungeshaacha kunijibu tangu mwanzo, kufika hapa maana yake wote tumebishana by the way kwani niliyoyaandika ni uwongo
 
Mnapokuwa na ego ndio mnaona mke kumtii mume ni jukumu lake.....mada yako unapinga favour tunayopewa wanawake hapo hapo unaonyesha jinsi ego zenu zinavyojaribu kumkandamiza mwanamke na kumpotray kama weaker being, eti mke kumtii mume ni gender role...nonsense!..
Mwanamke sio weaker ?
 
Ndio maana nikakuambia ni either hujaelewa au umeamua tu kukaza fuvu lakini maswali yako nimekujibu vizuri tu, katika case kama hiyo utatakiwa kugawana mali na mke wako kwa kigezo cha muda uliomfuja ambao alitakiwa autumie kutafuta pesa kama wewe lakini badala yake akautumia kufanya hayo majukumu, kwahiyo maana yake ni kwamba mkiachana wewe utakuwa na pesa au mali au kazi au biashara za kukufanya uendelee kujikimu kimaisha ila mkeo atakuwa hana hivyo vitu kama wewe kwahiyo hawezi kuachwa mikono mitupu akaanze upya wakati muda aliotakiwa ajitafutie hivyo vitu ulimfuja wewe

Kuhusu mahari nafikiri umekomalia tu hilo suala bila kujua sababu ya kutoa mahari mahari ina sababu kadhaa ila kubwa ni kama fidia kwa familia ya mke kwa sababu kwa tamaduni zetu, mwanaume akioa familia yake inahesabika imegain ilihali mwanamke akiolewa familia yake inahesabika imelose kwa sababu mke na watoto wataenda kutumia majina ya mume na kuendeleza ukoo wa mume jambo ambalo ni hasara kwa ukoo wa mke, ndio maana wazee wetu wa zamani walikuwa hawapendi kuzaa watoto wa kike walikuwa wanapenda wa kiume tu kwa sababu hiyo ya kuendeleza jina la ukoo maana kwa tamaduni zetu kuendeleza jina la ukoo inaonekana ni kitu chenye heshima sana

Wewe ndio maana nikakuambia hujaoa ila nakushangaa unasema maisha yako binafsi hayanihusu ndio hayanihusu sasa mbona unaandika uongo na vitu usivyovijua halafu unataka nikubaliane tu na wewe, acha kuandika mambo usiyoyajua kuhusu ndoa vinginevyo lazima nikuhoji tu yani unakomaa kutunga assumptions zako mradi tu utetee uongo wako, ungekuwa umeoa ungekuwa unajua maana ya mahari na ungejua pia kwamba send offs pamoja na kitchen parties siku zote hugharamiwa na familia ya mke na si ya mume na huwa hazina ulazima wala umuhimu sana mnaweza msifanye
Mwanamke kununuliwa kama nyanya sokoni kupitia mahari ni sahihi ?

mwanamke ni mtumwa wa mwanaume kupitia kununuliwa kwa mahari hivyo anapaswa kutii kila agizo la bwana wake si ndio ?

Wewe ni supporter wa mfumo dume, mfumo jike au 50/50 au ni nini hasa unacho support ?
 
Back
Top Bottom