Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,311
- 935
TUELEWANE KIDOGO
SUALA LA MWANAUME KUPIGWA AU KUONEWA IKO HIVI
Mwanaume hupigwa kwa udogo wenye ukubwa ndani yake mfano bando mwanamke humuomba hela ya bando mmewe ila online huchat na watu 11 Kati yao nane ni Wanaume hao tatu ni wanawake wenzie na hizo chat hufutwa kingine wewe uliyeombwa bando hutumiwi hata text moja umepigwa na umenyanyaswa
Yupo aliyeomba picha akatumiwa yupo aliyeomba video call akapigiwa yupo aliyeomba na picha za utupu akatumiwa serious ila wewe ni ziro
Mwanaume huombwa kifurishi cha sms ila wewe utaambulia kuambiwa shida za hapo home tu hamna sabuni hamna unga dstv wamekata mtambo ila wapo wanaoambiwa wamemisiwa wapo wataambiwa waonane hiyo ni kupitia hela yako utasalitiwa kupitia hela yako atavaa nguo ulizomnunulia wewe kusuka kwa hela yako yaani atapendeza kwako na atakusaliti alafu ukijua utaambiwa shetani kampitia je? Hujapigwa? Hujanyanyaswa?
Ukisema umuache atadai mali mlizochuma hapo ndo utajua maana ya kunyanyaswa yaani kila kilicho chako atataka kiwe chake hana huruma na wewe kabisa
Ifike mahali mfumo haupo sijawahi kuuamini huo mfumo dume never