Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

TUELEWANE KIDOGO
SUALA LA MWANAUME KUPIGWA AU KUONEWA IKO HIVI

Mwanaume hupigwa kwa udogo wenye ukubwa ndani yake mfano bando mwanamke humuomba hela ya bando mmewe ila online huchat na watu 11 Kati yao nane ni Wanaume hao tatu ni wanawake wenzie na hizo chat hufutwa kingine wewe uliyeombwa bando hutumiwi hata text moja umepigwa na umenyanyaswa
Yupo aliyeomba picha akatumiwa yupo aliyeomba video call akapigiwa yupo aliyeomba na picha za utupu akatumiwa serious ila wewe ni ziro
Mwanaume huombwa kifurishi cha sms ila wewe utaambulia kuambiwa shida za hapo home tu hamna sabuni hamna unga dstv wamekata mtambo ila wapo wanaoambiwa wamemisiwa wapo wataambiwa waonane hiyo ni kupitia hela yako utasalitiwa kupitia hela yako atavaa nguo ulizomnunulia wewe kusuka kwa hela yako yaani atapendeza kwako na atakusaliti alafu ukijua utaambiwa shetani kampitia je? Hujapigwa? Hujanyanyaswa?

Ukisema umuache atadai mali mlizochuma hapo ndo utajua maana ya kunyanyaswa yaani kila kilicho chako atataka kiwe chake hana huruma na wewe kabisa

Ifike mahali mfumo haupo sijawahi kuuamini huo mfumo dume never
 
Hiyo sheria kandamizi ndo inafanya wanawake wawe majeuri, maana wanajua wakiachwa wanalipwa, hivi nimemkamata mke wangu kanichiti halafu nikimuacha nimlipe, upumbavu gani huo? Kwanini wasingeweka hata exception kwa kosa hilo tu?
Mkuu umenena Wanaume tunapigwa hapo tunanyanyaswa hapo jibu ni moja usiruhusu mwanamke akajua mali zako zote basi hamna lingine
 
Mpaka ukaamua kumiliki mali kwa siri maana yake sheria inakukandamiza kuweka wazi mali zako. Hata ivyo ulichoandika hapa kina mantiki sana, mwanamke anatakiwa kujua nyumba mnayoishi tu mali zingine zote ziwe siri wazijue ndugu wachache wa karibu sana ili zisipotee ukifa.
Ni bora ujikandamize mwenyewe yaani ni bora ununue gari upate nalo ajali ufe kuliko ugongwe njiani uwe kilema serious
 
TUELEWANE KIDOGO
SUALA LA MWANAUME KUPIGWA AU KUONEWA IKO HIVI

Mwanaume hupigwa kwa udogo wenye ukubwa ndani yake mfano bando mwanamke humuomba hela ya bando mmewe ila online huchat na watu 11 Kati yao nane ni Wanaume hao tatu ni wanawake wenzie na hizo chat hufutwa kingine wewe uliyeombwa bando hutumiwi hata text moja umepigwa na umenyanyaswa
Yupo aliyeomba picha akatumiwa yupo aliyeomba video call akapigiwa yupo aliyeomba na picha za utupu akatumiwa serious ila wewe ni ziro
Mwanaume huombwa kifurishi cha sms ila wewe utaambulia kuambiwa shida za hapo home tu hamna sabuni hamna unga dstv wamekata mtambo ila wapo wanaoambiwa wamemisiwa wapo wataambiwa waonane hiyo ni kupitia hela yako utasalitiwa kupitia hela yako atavaa nguo ulizomnunulia wewe kusuka kwa hela yako yaani atapendeza kwako na atakusaliti alafu ukijua utaambiwa shetani kampitia je? Hujapigwa? Hujanyanyaswa?

Ukisema umuache atadai mali mlizochuma hapo ndo utajua maana ya kunyanyaswa yaani kila kilicho chako atataka kiwe chake hana huruma na wewe kabisa

Ifike mahali mfumo haupo sijawahi kuuamini huo mfumo dume never
Yaani katika uovu akitoka mwanamke ndo chini yake anafuatia shetani, kisha wanafuata mapepo na majini, kafanya umalaya kakuchiti afu ukimpiga chini unamlipa, sheria ya uonevu na ni upumbavu mkubwa, wanawake wengi ni malaya hata mbwa wana afadhali, tena utakuta ndo hao wanao pigia chapuo kugawana mali, ni tamaaa tu na umalaya uliokomaa
 
Usihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.

Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?

Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.

Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Jamaa una akili sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwahiyo unafikiri hiyo michango inafanana mpaka kila mmoja apewe nusu?
Mkuu hata saikolojia inatambua kwamba mwanaume huwezi kufanya shughuli za kutafuta pesa kwa ufanisi kwa muda mrefu bila kuwa na mwanamke wa kukuliwaza na kukufariji, isitoshe wanaume wengi akili huwa zinaamka na kuongeza bidii ya kutafuta pale wanapojua kwamba wana wategemezi wewe unasema tu kwamba eti pengine usingeoa ungekuwa na pesa nyingi, unafikiri usingeoa ungekuwa na hiyo akili na bidii ya kutafuta hizo pesa nyingi wakati unajua huna wategemezi ingekuwa hivyo wanaume wengi wasiooa si wangekuwa matajiri lakini mbona wanaoongoza kwa utajiri ni wanaume wenye wake na watoto
Hiyo sheria kandamizi ndo inafanya wanawake wawe majeuri, maana wanajua wakiachwa wanalipwa, hivi nimemkamata mke wangu kanichiti halafu nikimuacha nimlipe, upumbavu gani huo? Kwanini wasingeweka hata exception kwa kosa hilo tu?
Hivi unafananisha cases za wanaume na wanawake kucheat haya tufanye hiyo sheria ya kugawana mali isingekuwepo wanaume si mngecheat mnavyojisikia, sababu mnajua wanawake hawawezi kuwaacha na wakiwaacha basi hawapati kitu kwahiyo wanaume mngekuwa hamna cha kupoteza, msilalamike kana kwamba sheria zingekuwa zinawafavour ninyi ndio mngetumia nafasi vizuri wakati mnajua ni jinsia gani inaongoza kwa kutumia nafasi inayopewa vibaya
 
Yaani katika uovu akitoka mwanamke ndo chini yake anafuatia shetani, kisha wanafuata mapepo na majini, kafanya umalaya kakuchiti afu ukimpiga chini unamlipa, sheria ya uonevu na ni upumbavu mkubwa, wanawake wengi ni malaya hata mbwa wana afadhali, tena utakuta ndo hao wanao pigia chapuo kugawana mali, ni tamaaa tu na umalaya uliokomaa
Hakika mkuu
 
Aloo nikiachana na huyu mke wangu nikioa tena niiteni mbwa
 
Hiyo sheria kandamizi ndo inafanya wanawake wawe majeuri, maana wanajua wakiachwa wanalipwa, hivi nimemkamata mke wangu kanichiti halafu nikimuacha nimlipe, upumbavu gani huo? Kwanini wasingeweka hata exception kwa kosa hilo tu?
Smart guy, wewe na Natafuta Ajira mlipambana sana na huyu hardcore feminaz wa kujiita Jadda, kwa hoja zenu nzito licha ya kupewa majibu mepesi Tena ambayo yako nje ya context lakini Bado mkawa mnakomaa nae duuh... Kwakweli mna moyo, Mimi nisingeweza hata kidogo.

Anyway sheria za ndoa hasa kwenye suala la mgawanyo wa Mali zimekaa kidhulumati sana, na hata wanawake wenyewe akiwemo huyo mliyekuwa mnabishana nae hapa anajua vizuri sana, ila kwa sababu jinsia yake ndio inanufaika hawezi kukubali hata siku Moja.

Mimi nimewahi kupiga story na dada mmoja wa makamo ambaye ni advocate akanitamkia wazi kabisa light kama yeye angekuwa ni mwanaume asingethubutu kabisa kuoa na sababu aliyonipa ni marital laws za Sasa hivi jinsi zilivyokuwa na loopholes nyingi zinazomnufaisha mwanamke hata kama yeye ndio mwenye makosa na sababu ya ndoa kuvunjika.

Yes, leo hii mwanamke unaweza ukamfumania halafu akakimbia kuvunja ndoa na wewe mwanaume ukaumia kwenye mgao wa Mali.
 
Aloo nikiachana na huyu mke wangu nikioa tena niiteni mbwa
Pole sana kaka... Ngoja nikujibu kama ambavyo wanawake na simps wangekujibu

"hapana jamani wanawake hawabadilikagi tu hivi hivi, lazima Kuna mahali utakuwa unamkwaza, hebu jiangalie kwanza wewe kama kweli unasimama kwenye nafasi yako kama mume"😄😄😄😄
 
😀😀😀😀😀
 
DNA test reveals footballer Vinicius Tobias isn’t the biological father of the child whose name he tattooed on his arm

Former Real Madrid player Vinicius Tobias got his baby’s name inked on his arm, only to later learn he’s not the biological father.

The 20-year-old Brazilian defender, now with Shakhtar Donetsk, and his ex-wife Ingrid Lima welcomed their daughter, Maite, on October 8.

To celebrate her birth, Tobias had the words “Maite, I love you” tattooed on his arm.

However, influencer Ingrid revealed that their relationship had been on and off around the time Maite was conceived, according to The Sun UK.

She also confirmed that a DNA test showed Tobias is not the biological father of the child.

“I came to give a statement about something that is getting annoying and that, unfortunately, I would have to come out on publicly to give you an explanation.

Vinicius and I haven’t been together for a while. During that time, I was in a relationship with someone and so was he.
We both moved on with our lives. In the meantime, Maite came along.

We decided to do a DNA test, and Maite is not Vinicius’ daughter,” she wrote in a post on Instagram.

FB_IMG_1729265664766.jpg

Natafuta Ajira hebu angalia huu ujasiri alionao huyu Binti wa kutamka wazi kabisa bila kujali maumivu atakayopitia huyu bwana ndogo... halafu bado Kuna majitu yanashupaza shingo eti mwanaume hakandamizwi??? Hivi sheria zingekuwa Fair Hawa pertenity fraudster wangepata wapi huu ujasiri???
 
View attachment 3128845

Inasikitisha sana, mbaya zaidi pamoja na kwamba mfumo una mianya ya wao kufanya ulaghai bado ikigundulika walifanya ulaghai hawawajibishwi ili funzo kwa wanawake wengine
 
Smart guy, wewe na Natafuta Ajira mlipambana sana na huyu hardcore feminaz wa kujiita Jadda, kwa hoja zenu nzito licha ya kupewa majibu mepesi Tena ambayo yako nje ya context lakini Bado mkawa mnakomaa nae duuh... Kwakweli mna moyo, Mimi nisingeweza hata kidogo.

Anyway sheria za ndoa hasa kwenye suala la mgawanyo wa Mali zimekaa kidhulumati sana, na hata wanawake wenyewe akiwemo huyo mliyekuwa mnabishana nae hapa anajua vizuri sana, ila kwa sababu jinsia yake ndio inanufaika hawezi kukubali hata siku Moja.

Mimi nimewahi kupiga story na dada mmoja wa makamo ambaye ni advocate akanitamkia wazi kabisa light kama yeye angekuwa ni mwanaume asingethubutu kabisa kuoa na sababu aliyonipa ni marital laws za Sasa hivi jinsi zilivyokuwa na loopholes nyingi zinazomnufaisha mwanamke hata kama yeye ndio mwenye makosa na sababu ya ndoa kuvunjika.

Yes, leo hii mwanamke unaweza ukamfumania halafu akakimbia kuvunja ndoa na wewe mwanaume ukaumia kwenye mgao wa Mali.
Ndo hapo, hao mafeminists wengi wao hawana ndoa wanasagana na dildo tu, maana wanaume hatupendagi makelele.
 
Ferminism ni moja kati ya ideologies ambazo zitasababisha matatizo makubwa katika mpangilio wa maisha ya binadamu hapa.

Hatuwezi kuwa na kizazi cha ufeminia bila kuiangamiza taasisi ya familia.

Vizazi vijavyo katika historia vitasoma ferminism kama mapito mengine (biashara ya utumwa, ukoloni n.k) ambayo yalisababisha matatizo katika ustawi wa maisha ya binadamu hapa duniani
 
Back
Top Bottom