Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Nikitaka kucheka huwa nakuja hizi nyuzi za wa iran weusi na wayahudi weusi alooh zinachekesha sana 😂😂

Kwanza zinaonesha kwanini mkoloni kwa kweli alitutawala

Pili zinaonesha watu wasivyo na hata chembe ndogo ya intelligence systems za nchi zinafanya kazi

Niseme tu mnawafurahisha sana watu wa TISS 😂😂 wanaona wataendelea kusaidia ccm miaka na miaka
 
Niliwahi kusikia na Tanzania tuna mfumo wa kuzuia makombora ya ICBM umewekwa Dar na Arusha Kuna ukweli wowote juu ya usemi huu?kama ni kweli pongezi Kwa jeshi letu Bora duniani likishikilia nafasi ya sita kati ya Nchi zote duniani Kwa mujibu wa msemaji wake
Upo mwakaleli tukuyu
 
Kuitegemea Iran ikiri kuwa kulikuwa na madhara kutokana na haya mashambulizi ni sawa na "kutegemea serikali ya chura kiziwi ikiri kuwa Tanzagiza Kuna utekaji na uuaji"

Kule israeli waandishi wa habari walizuiwa kupiga picha wakati Iran iliposhambulia
 
Kobaz wanasema wewe uwaonyeshe kwanza hizo ndege 100 zilipokua kwenye anga la IRAN ili na wao wakuonyeshe walivyo zitungua.
Jomba uwe na macho yanayo tymika kusoma news kwa mitandao au
 
Huo mfumo wa ulinzi ulikuwa unafanya nini wakati ndege zinatamba ndani ya anga la Iran? Nimesikiliza mahali nokamvulia kofta Myahudi. Kumbe walirusha kwanza makombora feki mifumo ya Iran ikawa bize kutungua maboya na ndege zikaingia na kupiga maeneo ya kijeshi!
Usitudanganye we zumbukuku hauongei na watoto wenzako.
Israel ilirusha makombora kutoka anga la Syria na Iraq.
Israel haikuingiza ndege anga la Iran.
 
Hio ni Simulation usitupange Mzee hivyo vigemu vya mchongo hata wewe unaweza kutengeneza na kuviweka X
We jamaa ni zumbukuku.
Hiyo simulation gani inakaa hivyo!?
Au unatuchukulia sisi hatuna ujuzi wa hivyo vitu!??
 
Back
Top Bottom