Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Attachments

  • 20241027_182025.jpg
    20241027_182025.jpg
    79 KB · Views: 2
  • 20241027_182025.jpg
    20241027_182025.jpg
    79 KB · Views: 2
  • 20241027_182025.jpg
    20241027_182025.jpg
    79 KB · Views: 2
Yani AA guns iwe ina speed ya namna ile kwenye interception na kwa umbali ule!??
Mkuu taratibu bana!
Embu katizame ule umbali na kasi ya ule udunguaji na umbali wake.
Halafu Iran walivyo wahuni walikua hawadungui mbali sana walikua wanazitegea zikikaribia zaidi karibu ndio zinapigwa faster kama 30 seconds hivi
 
Sasa ulitegemea zikiwa nje ya anga la Iran zisirudi salama?? Au unaamini ziliingia kwenye anga la Iran?? Punguza mahaba na tumia akili yako vizuri hata kama unayo ndogo!

Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets |​

Israeli warplanes have conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations.

Sikiliza mwenyewe the extent ya uharibifu uliotokea Iran kufuatia shambulizi la Israel. Take note that, hiyo ni kama trailer tu. Movie yenyewe yaja mara iran wako watakapo jichanganya tena kurusha makombora.
I can see UTAWALA WA MAAYATOLLAH HUO UNAENDA KUPOTEA. Wewe ngoja
 
View attachment 3136824
Kwa hiyo ukisikiliza mara million moja ndo maongezi yanakuwa ya kweli au mtu anapiga blaa blaa tumepiga tumepiga wakiulizwa mlichopiga hamkionyeshi
 
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Imeshangaza kwa kuliwa kwa makamanda wa irani wa 4 na raia 7. Endeleeni kujitia dola kisha kunusa
 
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!

View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

Huo mfumo wa ulinzi ulikuwa unafanya nini wakati ndege zinatamba ndani ya anga la Iran? Nimesikiliza mahali nokamvulia kofta Myahudi. Kumbe walirusha kwanza makombora feki mifumo ya Iran ikawa bize kutungua maboya na ndege zikaingia na kupiga maeneo ya kijeshi!
 
Hio ni Simulation usitupange Mzee hivyo vigemu vya mchongo hata wewe unaweza kutengeneza na kuviweka X
 
Huo mfumo wa ulinzi ulikuwa unafanya nini wakati ndege zinatamba ndani ya anga la Iran? Nimesikiliza mahali nokamvulia kofta Myahudi. Kumbe walirusha kwanza makombora feki mifumo ya Iran ikawa bize kutungua maboya na ndege zikaingia na kupiga maeneo ya kijeshi!
Hahaha kiiiichekesho kichekesho kumtaza Chura kiiiichekesho kichekesho kumtaza Chura
 
Sema Israel na Iran hawadharaurian kama tunavyowaza.Ila mwenye data za kutosho za adui yake yamkini atashinda.
Wako pale angani na aridhini,utawala wa khomein
unatolewa soon
Kwanini?
Ni kufadhili haya makundi ya kigaidi.
kesho tuate results.
.
 
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Wako pale angani na aridhini,utawala wa khomein
unatolewa soon
Kwanini?
Ni kufadhili haya makundi ya kigaidi.
kesho tuate results.
.
[/QUOT]
Aisee!halafu kuhusu tuhuma hizo za nia ya kumwondoa khomein kwa tuhuma ulizo zitaja nmewahi zisikia live kwa mwisraeli mmoja mwaka 2013.
 
Katika shambulio hili Israel imepata aibu na hasara kubwa bila mafanikio.
Ni juzi tu hapa mkuu wa jeshi la Israel aliwaahidi mabosi wake wa West, pamoja na wale wa wayahudi wa hapa kwetu Bonyokwa kuwa shambulio litakalofanywa na Israel litakuwa kubwa na lenye madhara makubwa kwa Iran.

Matokeo yake tumeona jinsi shambulio hilo lilivyonywea. Yametumika maandalizi mengi halaf matokeo madogo. Ndege 100 zinatoka bila kuacha madhara yoyote kama tulivyoahidiwa. Hii ni aibu na fedheha kwa Netanyahu na genge lake. Ndio maana Ayatollah hakuona sababu ya kuingia hasara ya kuzishusha, maana zilienda tu kutalii na kutoka. I mean aliona hazikuwa na athari yoyote kwenye nchi yake.
Hawa jamaa watu propaganda Sana je tuna uhakika gani kwamba Hawa jamaa walienda Iran kwa kutumia ndege 100 mwenye ushahidi tagadhal
 
Back
Top Bottom