Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sasa wewe ndo ukatafute muongo naniNdiyo mnavyojidanganya Buza huko?
Yote tisa ile Air defence iko Fasta ajabu sio iron donne ving'ora viingi makelele tu. Kitu cha muajemi kinafanya intercept za double double bila kelele hapo mzayuni keshaelewa alizani pako uchi kama gaza. Inabidi arudi darasani kusoma notisi upya na babake, kakiri leo ajawahi kuona system kama ile
Hao siku wakipata nguvu wote tutalazimishwa kuacha kitimoto mboga yetu pendwaRasmi sasa tumeamua kuzifanyia ushabiki roho za watu😭
Nyie tuwaombee Amani wenzetu
Sawa hata wakisema inama uchi utafanya tuHuko X kila .mtu mchambuzi mimi nitamsikiliza Ayatollah na majenerali wa Irani wanasemaje mazayuni maongo sana kwanza wanadanganya wametumia ndege 140 uzushi mtupu,
Nilikua nadhani wewe ni mbobevu wa masuala ya kijeshi i was wrong kumbe ni Muangaliaji movie tu huna unalojua ,haufatilii taarifa unangoja zipostiwe humu JF .Nani kasema zimetumika ndege 100?
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Sawa hata wakisema inama uchi utafanya tu
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1850229542658478187?t=tI7Fk-uyxp73xtDxVBRpIQ&s=19
Wamekataza raia kupiga pichaHakuna aliyeumizwa atakiri kuwa kaumizwa.
Ndege hazikuingia ndani ya Iran ninyi watu.Kwa kweli Defensive systems za Iran zimefanyakazi kubwa!
Mifumo ime engage na missiles za Israel kikamilifu.
Makombora mengi yamedunguliwa!
Lakini hata hivyo airspace ya Iran iko wazi! Kama ndege za Israel zimeingia na kutoka bado Iran haiwezi kujivuna sana.
Usijiaibishe mkuu haifai.Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.
Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Video clip za AA guns anga la Iran hujaziona?Usijiaibishe mkuu haifai.
Iran wana Bavar-373 missile interceptors.
Sasa wewe unakuja kutudanganya kuwa wanatumia AA guns!?
Hata aibu huoni mkuu!?
Tupe ushahidiIsrael amerusha missiles ndege zikiwa anga la Iraq hakuweza ingia Iran muwe mnafatilia habari vizuri.na kulikuwa na refueling jets kwenye anga ya Iraq
😆Katumba ya Kwenda mwakaleli au😂😂
Mpimbwesiyo inyanga?
Tupe ushahidi
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Sasa ulitegemea zikiwa nje ya anga la Iran zisirudi salama?? Au unaamini ziliingia kwenye anga la Iran?? Punguza mahaba na tumia akili yako vizuri hata kama unayo ndogo!Wala haihitaji Degree ya juu kutambua kuwa Israel imefanikiwa kwenye hilo shambulizi. Ndege zote zimerudi salama.
Wewe ni
Nilikua nadhani wewe ni mbobevu wa masuala ya kijeshi i was wrong kumbe ni Muangaliaji movie tu huna unalojua ,haufatilii taarifa unangoja zipostiwe humu JF .
Israel imetumia 100 fighter jet kushambilia Iran kupitia inchi jiran zake (zilitoa permission kutumika anga zao ) haikuingia ndani ya anga la Iran, ndege 100 ni airstrike kubwa haiitaji kukongaja siku mbili wala satellite images kujua madhara, Israel imefeli maandalizi makubwa impact zero ..
View: https://youtu.be/SGlkJERPmwo?si=qUyZUjNrUhp-qdZc
Hakuna anga litakalo toshewa na mfumo wa anga hasa kama Russia kulingana na ukubwa wake vipi images za satellite hazijapatikana badoVideo clip za AA guns anga la Iran hujaziona?
Bavar-373 wana batteries ngapi na Iran ina ukubwa gani? Au unahisi ukishakuwa na AD system chache tiyari umetosheleza mahitaji ya nchi.
Mpaka leo Urusi haijawahi jitosheleza na AD systems na inazo maelfu kuliko nchi yoyote duniani na inaunda tokea miaka ya 1970s uko, we unaisema Bavar na vimifumo vingine vya miaka ya juzi.