Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Shambulio lilikuwa very limited, kwa hiyo ni busara kwa Iran kutojibu shambulizi lingine lolote ili kunusuru mashariki ya kati kuwa katika mzozo mkubwa.
 
Hizo ndege zimeingia anga ipi mkuu
Hakuna ndege imeingia anga la Iran, wame lunch kutokea km 100 katika boda ya iraq

— ❗️🇮🇷 Statement by the General Staff of the Armed Forces of Iran:

'To the noble and zealous nation of Islamic Iran: This morning, Zionist enemy jets, in an overt aggression and contrary to international laws, launched from Iraqi airspace one hundred kilometers from the borders of Iran, a number of long-range airborne missiles with cluster warheads.

About one-fifth of the air-launched ballistic missile warheads were fired towards several border radars in the provinces of Ilam, Khuzestan and around Tehran province. Some of these radars are now in the process of being repaired, which is being done immediately.

In this illegitimate and illegal act, due to the readiness of the country's air defense, a significant number of missiles were tracked and intercepted, and enemy jets were been prevented from entering the country's airspace.

The Islamic Republic of Iran, while reserving its legal and legitimate right to respond at the appropriate time, emphasizes the establishment of a lasting ceasefire in Gaza and Lebanon to prevent the killing of the helpless and oppressed people.

The terrorist and criminal government of the United States, which plays a central role in supporting and encouraging the criminal actions of the Zionist regime in disrupting the security of the region, is warned to prevent the spread of conflict and instability in the region and the killing of innocent people, especially in Gaza and Lebanon.

We urge the United States to restrain itself and the illegitimate regime it supports (Israel) to avoid getting itself and its allies dragged into the endless quagmire that the Zionist regime has created.

The honorable people of Iran, the media, experts and analysts are requested not to pay attention to the rumors and unreliable enemy narratives and to follow the correct news through official sources and national media.'

@Middle_East_Spectator
 
Pole kale urojo na tende za msaada toka Iran maana dah umemtetea kweli kweli.
Kama nilivyo pokea
Naibu Kamanda wa Jeshi la Wanahewa la Russia, Meja Jenerali Anatoly Konovalov Ndege za Israel zilizoshiriki katika shambulizi dhidi ya Iran zinakadiriwa kuwa takriban ndege 25 za kivita, zikiwemo ndege 10 za kivita za Marekani zilizotoa msongamano wa rada za Iran ni aina mpya ya ndege inayojulikana kama ndege wa kivita na msongamano wa kielektroniki wa EC-37B Compass Call.
 
Hapa inamake sense
 
Na inakuwaje waarab wanaruhusu anga lao kutumika na myahudi? pamoja na kuombwa sana tena kwa huruma na waziri wa mambo ya nchi za nje Irani kuwa wasimruhusu myahudi lakini bado wamemruhusu?
Syria Kuna kambi ya marekani inayolinda kampuni ya marekani iibayo mafuta Syria,na Iraq ni failed state,kila mtu anafanya lake,kukiwa na base za USA
 
Atakapouwawa Ayatollah Khomenei na majasusi wa Mosad,ndipo utaamini Israel ni balaa au siyo balaa.we endelea kushabikia usiyoyajua.
 
Kama nilivyo pokea
Naibu Kamanda wa Jeshi la Wanahewa la Russia, Meja Jenerali Anatoly Konovalov Ndege za Israel zilizoshiriki katika shambulizi dhidi ya Iran zinakadiriwa kuwa takriban ndege 25 za kivita, zikiwemo ndege 10 za kivita za Marekani zilizotoa msongamano wa rada za Iran ni aina mpya ya ndege inayojulikana kama ndege wa kivita na msongamano wa kielektroniki wa EC-37B Compass Call.
Mhh huyo anatory wa bongo kakundanganya nawe umeingia king kuwa ni mrusi😂🤣😁😄😀😆
 
Back
Top Bottom