Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Yote tisa ile Air defence iko Fasta ajabu sio iron donne ving'ora viingi makelele tu. Kitu cha muajemi kinafanya intercept za double double bila kelele hapo mzayuni keshaelewa alizani pako uchi kama gaza. Inabidi arudi darasani kusoma notisi upya na babake, lakiri leo ajawahi kuona system kama ile
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Ndege zinazoingia na kutoka Iran kwa siku ni zaidi ya 600 sasa sijui ulikua unataka kusema Nini
 
Pole mtumwa mweusi wakiyahudi hakuna madhara yeyote zaid ya kibanda kimoja na yakufa kuna wengine wanasema hakuna aliye kufa ni Iran anataka kumchapa Israel kwa kisingizio kuwa wa Iran wamekufa .

Nchi 18 ziliambiwa zimpa tarifa Iran wapi Israel watapiga nchi mmoja wapo ni ya kiarabu Sa zinamzuia Iran asimpige Israel sababu kosa litakuwa lake kama kuna mtu kafa, sababu walisha ambiwa watoe askari zao.

Israel hakupiga Nuclear plant, visima vya mafuta, Air ports., Bandar au sehemu za Missiles au za kutengeneza silaha zingine.
Pole kale urojo na tende za msaada toka Iran maana dah umemtetea kweli kweli.
 
Sawa, Israel wameenda na ndege na zimefyatua mabomu kule Tehran, unataka kutuaminisha kwamba mabomu yaliyorushwa na hizo F35 yametunguliwa juu kwa juu ila ndege haijatunguliwa hata moja, licha ya Wayahudi kuambia Iran kwamba kichapo kinakuja. Ebu tuweke sawa hapo.
Ndege ziliishia syria hata iraq hazijafika( iraq ipo karibu na iran)
 
Israel hajaingiza ndege hata moja Iran,katumia anga la Syria na Iraq ambako bwanaake marekani yupo
Na inakuwaje waarab wanaruhusu anga lao kutumika na myahudi? pamoja na kuombwa sana tena kwa huruma na waziri wa mambo ya nchi za nje Irani kuwa wasimruhusu myahudi lakini bado wamemruhusu?
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Uliona ndege ngapi...? Ukiwa wapi...?
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae

Bisha ushabiki
Niwajulishe tu kuwa; Irani imewekeza sana katika vita ya technologia.
Mfano: Irani ni Nchi ya pili au ya tatu Duniani kwa kutengeneza drone za kisasa za kivita;
Urusi, Korea na nchi nyingi tu za Ulaya hutegemea kununua Drone za kivita kutoka Iran
Mfano mwingine; Kifaru kimoja au ndege moja ya kivita (Lockheed Martin F-22 Raptor) ya zaidi ya dola milioni 150, Inaweza kuangamizwa kabisa na drone ya bei poa tu.....
Watu ambao hawafuatilii masuala ya kimataifa wanafikiri Irani niya kuichukulia Poa.....
 
Makombora ya israel yaliyotumika ni air lunched balistic missile ( kama kinzal za urusi range ni kubwa kuliko glide bomb)
 
Labda niwajulishe tu kuwa; Irani imewekeza sana katika vita ya technologia.
Mfano: Irani ni Nchi ya pili au ya Tatu Duniani kwa kutengeneza drone za kisasa za kivita;
Urusi, Korea na nchi nyingi tu za Ulaya hutegemea kununua Drone za kivita kutoka Iran
Mfano mwingine; Kifaru kimoja au ndege moja ya kivita (Lockheed Martin F-22 Raptor) ya zaidi ya dola milioni 20,000; Inaweza kuangamizwa kabisa na drone ya Irani ya bei poa tu.....
Watu ambao hawafuatilii masuala ya kidunia wanafikiri Irani niya kuichukulia Poa.....
Nonsense

View: https://x.com/MOSSADil/status/1850181877551788177?t=0qKWUl6rDPyPzfVsoJp_AQ&s=19
 
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!


View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

Umeandika utumbo mtupu

View: https://x.com/MOSSADil/status/1850181877551788177?t=0qKWUl6rDPyPzfVsoJp_AQ&s=19

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1850189260311212147?t=g4L9muGHunvnAlcMBLPBzw&s=19
 
Back
Top Bottom