Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!

View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

hahahaaaa... eti hata nzi hajafa..kweli mnajifariji sana..wakati wenzenu sa ivi wako wanazika? tena hapo wamepewa taarifa kwamba wanashambuliwa na wanajeshi wamekufa..je wangepigwa kwa kushtukiza sa ivi si tungekua tunatangaza msiba wa ayatola?
 
1000292797.jpg
 
Kiwanda cha silaha cha kiirani kimeharibiwa sehemu kadhaa na wafanyakazi watatu wamekufa halafu mipalestina mitumwa ya makunduchi inabwabwaja hapa JF

View: https://x.com/AlarabyTV/status/1850069191380042175?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1850069191380042175%7Ctwgr%5E3f713819aef2ce35b77b8899abadc9f8970aa56b%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Firan-says-it-has-duty-to-defend-itself-after-israeli-strikes-2-soldiers-killed%2F
 
kwa ninavowajua iran kwa kuficha taarifa hapo lazima si chini ya wanajeshi ishirini wamekufa..maana mwanzo walisema makombora yote yametunguliwa duh..
 
Sasa mkuu ndege 100+ zimevuna kipi zaidi ya kuonyesha ujuha?

View attachment 3135932
1000292797.jpg

ukiona wao wamesema wamekufa wanajeshi wawili basi ujue kwamba ni zaidi ya wawili mana hakuna serikali yeyote duniani inayotoaga taarifa sahihi za vifo.. lazima watapunguza.

sasa wewe sema kwamba ni ujuha wakati wenzako sa ivi wapo wanazika..pia kumbuka makombora ya iran yalikua mia tatu na hakuna aliyekufa hata mmoja...sasa apo ndo utajua nani juha na nani ana shabaha
 
Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.

Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Unadungua vipi Ndege zilizopo nje ya eneo lako?. Mbona tunaona video makombora yakinduguliwa.

Israel katuangusha tulichotarajia sicho tulichoona.
 
View attachment 3135934
ukiona wao wamesema wamekufa wanajeshi wawili basi ujue kwamba ni zaidi ya wawili mana hakuna serikali yeyote duniani inayotoaga taarifa sahihi za vifo.. lazima watapunguza.

sasa wewe sema kwamba ni ujuha wakati wenzako sa ivi wapo wanazika..pia kumbuka makombora ya iran yalikua mia tatu na hakuna aliyekufa hata mmoja...sasa apo ndo utajua nani juha na nani ana shabaha

Iran, Hezbollah, HAMAS wako kwenye rekodi kusema ukweli.

Wao hukiri yakiwakuta lakini si wasayuni.

Kwani wangesema hakufa mtu wewe ungejulia wapi?

Ila kuwa 2 kwa madege 100+ Unadhani efficiency (eta) ni % ngapi hapo ndugu?

IMG_20241026_125253.jpg

Huyu mwamba ana hoja, asikilizwe!

Askari 2 waliokufa utaita wameshambuliwa na ndege 100+ kweli, ndugu?

Au mwenzetu umeiona wapi sense of surprise, lethal or intensity tuliyoahidiwa?

Iran hana haja ya kujibu, kwenye hili Iran kashinda na msayuni kavuna aibu!
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Hakuna ndege iliyoingia Iran,ndege zimetumia anga la Iraq,zingeingia Iran ungesikia zimepopolewa na marubani mateka
 
Iran, Hezbollah, HAMAS wako kwenye rekodi kusema ukweli.

Wao hukiri yakiwakuta lakini si wasayuni.

Kwani wangesema hakufa mtu wewe ungejulia wapi?

Ila kuwa 2 kwa madege 100+ Unadhani efficiency (eta) ni % ngapi hapo ndugu?

View attachment 3135937

Huyu mwamba ana hoja, asikilizwe!

Askari 2 waliokufa utaita wameshambuliwa na ndege 100+ kweli, ndugu?

Au mwenzetu umeiona wapi sense of surprise, lethal or intensity tuliyoahidiwa?

Iran hana haja ya kujibu, kwenye hili Iran kashinda na msayuni kavuna aibu!
In April, the Iranian government denied an attack targeting Iranian air defences near Isfahan, but last week, Gen. Jafari, former commander of the Revolutionary Guards, admitted it took place, though he minimised its impact.
 
Propaganda vitani huisha?

Hudhani hiyo inaweza kuwa namna nyingine ya mijongo ya kwetu kuonyesha na wengine ni waongo kama yenyewe?

Kauwawa Hanniyeh, Nasrallah, Sinwar nk wapi uliona wakisua sua kukiri?

Usayuni goba je?
 
mwanzo h
Propaganda vitamin huisha?

Hudhani hiyo inaweza kuwa namna nyingine ya mijongo ya kwetu kuonyesha na wengine ni waongo kama yenyewe?

Kauwawa Hanniyeh, Nasrallah, Sinwar nk wapi uliona wakisua sua kukiri?

Usayuni goba je?
mwanzo kabisa alivouliwa nasralah iran walikanusha kwamba hajafa na yuko safe location...israel walivoconform iran wakanyamaza
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Hapo na mm nashangaa ndege zimeingia na kupiga afu zinatoka salama.tunashangaaje sisi kama sio kuona iran hewa tu

Umeokoteza ki takataka chako unataka kila mtu akiamini. Afu unasema tumia akili hivi unaijua akili..? Umeona israel na iran wakisema kiasi cha uharibifu. .? A u stupid...?
 
Back
Top Bottom