Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Picha za mabaki ya Ndege za Yahudi zilizo angushwa tafadhali
 
Vita ya 2011 ya wenyewe kwa wenyewe ndio ilikua na lengo la kuchota wese na wamefanikiwa ila mashambulizi ya mara kwa Mara ni kuondoa proxy za Iran acc to israhell wamefanikiwa kwa uoni wako
Ushanielewa.

Yes ana weak proxies kabla ya kumbaraza master mwenyewe, huo ndio uoni wangu.

Tusubiri tuone, japo sifurahii vita kwa sababu zitatuathiri hadi sisi Dunia ya tatu
 
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!

View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

Kwenye dini yenu kusema uongo si dhambi?
Nyie mnakuwa mazombie hadi mnatufanya tuamini kuwa huko madrasa mnajifunzaga ujinga.
Tofauti yako na Lucas Mwashambwa ni ndogo sana
 
Ninyi huwa mnaionja miiba kwa ndimi zenu kujua ladha?

Tukiambiwa itakuwa surprise, lethal and intense.

IMG_20241026_092242.jpg

Matatu hayo umeona lipi?
 
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!

View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

Unatumia Nguvu kuubwa kuelezea wakati wajuba wamekuja Ghetto wamepiga mtungo wamesepa mahome bila mkwaruzo.
 
...has said the damage inflicted from the attacks was minimal"...!
-Ulitaka aseme wameumizwa sana?
-wamevaliwa kwa kushtukiza au?

Sasa ulitaka aseme damage ilikuwa kuwa wakati ni ndogo?

Ulitaka aseme wameumizwa sana wakati sivyo?

Surprise? Wangeweza kuzuia uharibifu?

Tukiambiwa itakuwa surprise lethal and intense.

IMG_20241026_125253.jpg

Lipi Moja umeliona Hapo
 
Prof. Elijah(military and political analyst) kahojiwa al Jazeera amesema hizo ndege haikuingia anga ya irani yaani zilisogea tu hazikuingia halafu zikatuma missiles.

Maana yake zingeingia anga la muajemi unadhani nini kingetokea?
Dunia imeshangazwa na defense system ya muajemi kuwa bora kuliko walivyodhani.

Kumbuka Hypersonic missiles zote alizotuma muajemi zote zilipiga target muda huo Mifumo ya ulinzi Israel ipo tu haijui kinachoendelea.
Aljazera sio? baki nayo mzee wa KOBAZI.
 
Back
Top Bottom