Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Ndege zilirusha makombora nje ya anga la Iran Israel sio wajinga kiasi hicho.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege zilirusha makombora nje ya anga la Iran Israel sio wajinga kiasi hicho.

Tuache ushabiki wa roho za watu wakuu bora ushabikie yanga leo kuliko ushabiki wa roho za watu, alichofanya Israeli Hana tofaut na alichofanya Iran yote ni kuepusha kutanuka kwa hii vita nimefurah sana aina ya shambuliz walilofanya Israel maana ni la kibusara zaidiUmejiona umetumia akili saana, jinsi Iran ilivyopitisha magimbi yake kwenda Israel ndio Israel imetumia anga la Jordan kupitisha ndege zake kwenda kushambulia iran
Asa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Ndege 100 ni busara ? Ficheni aibu yenuTuache ushabiki wa roho za watu wakuu bora ushabikie yanga leo kuliko ushabiki wa roho za watu, alichofanya Israeli Hana tofaut na alichofanya Iran yote ni kuepusha kutanuka kwa hii vita nimefurah sana aina ya shambuliz walilofanya Israel maana ni la kibusara zaidi
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Aibu gani akati yeye kajilinda dhidi ya ilo shambulizi la ndege 100Mifumo ya ulinzi ya Iran au ya Urusi, alafu sijaona Cha ajabu kwenye hiyo mifumo, ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata Moja? Aibu gani hii
Huna akiliAsa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.
Kwani hizo ndege zilienda kutalii ?
Hadi wanapeleka ndege 100 hapo walitegemea kulipua maeneo mengi na kuleta mazara makubwa
Aibu waliopata heri wangepeleka vindenge viwili hata
Halafu hawa walevi wa lugha ya kiarabu wanajifariji eti hakuna Israel amefanya kitu. Sijui wale Wanajeshi 2 wamekufa Kwa Kideri?Haya madude yanashuka bila kuzuiwa na chochote....
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!
View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19
Ndege 100 kwa vifo vya wanajeshi 2 yaani hapo NJ sawa na kusema ndege 50 za Israel uwezo wake ni kuua msoja mmoja wa Iran .Halafu hawa walevi wa lugha ya kiarabu wanajifariji eti hakuna Israel amefanya kitu. Sijui wale Wanajeshi 2 wamekufa Kwa Kideri?
Vita ya 2011 ya wenyewe kwa wenyewe ndio ilikua na lengo la kuchota wese na wamefanikiwa ila mashambulizi ya mara kwa Mara ni kuondoa proxy za Iran acc to israhell wamefanikiwa kwa uoni wako1. Vita ni Malengo, Malengo ndio huleta ushindi.
2. Ushindi sio lazima aichukue nchi iwe yake
3. Sio lazima uanze na boots on the ground, anaweza kutimia mashambulizi ya anga kwanza.
4. Inaonekana hujui kinachoendelwa Syria, Wayahudi na wamarekani wanajichotea mafuta kupitia Proxies waliowatengeneza ambao pia wanawatumia kumdhibiti Assad. Hapa ndio tunarudi kwenye namba 1 na namba 2 lengo lilikwua nini. Lakini umesikia Assad akishambilia Israel, hana hiyo nguvu wakati lilikuwa taifa tishio. Wamebaki Proxies tu. Na nchi haitawiliki ndio maana wanajichotea mafuta.
Yaani we hata hujui kinachoendeleaHun
Huna akili Iran inavyoteseswa hivyo kila siku japo wanaficha nyuma ya watoto na wajawazito
Meli zinapita pale ambapo Houthi walisema hazitapita hili ndio lakujadiliNinachoelewa, Israeli ni lazima iidanganye kuwa Iran ina mifumo mizuri ya kujilinda. So, hii ya leo ni hadaa tu. Thats what happened. Ila tuendako ni kubaya zaidi. Waulizeni Wahouth kilichowapata kwa kike kipigo kimoja tu cha Hodaidor port. Tangia hapo hadi leo,wamefanikiwa kutusha drone moja tu, na haikuwa hivyo.
Sawa mkojo ....oops sorry makojoHuna akili
Yaani Iran wanaongea kiarabu?Kweli ujinga ni mzigo mkubwa haswa.Herd thinking at its best shabikia bila hata kujua chochote.We unaskia wanaongea kiarabu alafu unasema ya Israel
We unaona yupo katika shereheYaani we hata hujui kinachoendelea
Kwan Iran yuko vitani ?
Mbona umeweka video ambayo ipo humu kitambo kipindi Iran ameishambulia Israel.Haya madude yanashuka bila kuzuiwa na chochote....
Aiya niambie lini raia wa Iran wameuliwa kwa sababu ya jeshi la Iran kujificha nyuma yao !?unaruhusiwa kuwauliza wanakwaya wenzako wakupe jibuWe unaona yupo katika sherehe
Hakuna ndege hata moja iliyosogelea anga ya Iran bali zimeeushia makombora zikiwa anga ya Syria na Iraq.Ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata moja na unasifia mifumo ya ulinzi ya Urusi