Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Vita sio ya kuofurahia kwani huo sio mpira
Naona washwahili kama mnatengeneza mashine za kubeti basi na vita mngeweka ili muwe mna bet

Ila Mungu mkubwa kawapa kila kitu isipokuwa akili
 
Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.

Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Wazidungue zilishambulia tokea wapi madhara ya kuishambulia kwa ndege mia wala yasingetaka siku tatu au mbili ngoja tusubiri matokeo ila neta paka kama ndio retaliation aloahidi hii kawapiga sana watu waloamini israhell mweupe Sanaaaaaaa
 
Ndege za myahudi zimefika na mashambulizi yamefanywa na Iran imekiri peupee kuwa uharibifu umetokea
ila wewe kwa upeo wako unasema

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

hii bila shaka itakuwa dunia ya maamumaz.
 
Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.

Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Mkuu, tunakutegemea sana ulete uchambuzi bora kuliko huu. You're way better than this. Halafu unatuuliza swali kweli?
 
IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!


View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19

Iran anasema wanajeshi 2 wameuawa!

Mpaka amekiri hivyo ujue kuna madhara makubwa sana huko
 
Back
Top Bottom