Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Wazidungue zilishambulia tokea wapi madhara ya kuishambulia kwa ndege mia wala yasingetaka siku tatu au mbili ngoja tusubiri matokeo ila neta paka kama ndio retaliation aloahidi hii kawapiga sana watu waloamini israhell mweupe Sanaaaaaaa
Nani kasema zimetumika ndege 100?
 
Jibu mbona jepesi ndege mia kwavyanzo nlivyosoma na kama sio Mia hizo zilizo tumika hata kama tatu mulitaka zitunguliwe zikiwa kwenye anga nje ya Iran
Kwahiyo mpaka sasa hujui ulichoongea, hivyo vyanzo vilivyodai ni ndege 100 ni kina nani hao Israeli Airforce au serikali? Au kijiweni kwenu mmeamua kujitungia.

Kwahiyo huna msimamo tena, hudai ni ndege 100 kama mwanzo.
 
Nani kasema zimetumika ndege 100?

Israel’s attack on Iran involves over 100 aircraft — newspaper​

Behind the scenes of Israeli attack: Over 100 aircraft and a 2,000 km journey to Iran​

The IDF confirmed the operation focused strictly on military targets, steering clear of nuclear and oil facilities to prevent wider conflict escalation.​

By AMIR BOHBOT OCTOBER 26, 2024 04:30 Updated:

OCTOBER 26, 2024 11:40

Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Hizi porojo zinaonyesha hata huelewi medani za vita.
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
acha vichekesho ndege ziliingia wapi...this time tutajua israeli taifa teule au propaganda
 
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Na hapo wamepata msaada wa wanafik wa Kituruki na Jordan. Licha ya wale mashetani wao wa kawaida wamerekani na uingerea.

Habari zitaibuka tu.
 
Sawa, Israel wameenda na ndege na zimefyatua mabomu kule Tehran, unataka kutuaminisha kwamba mabomu yaliyorushwa na hizo F35 yametunguliwa juu kwa juu ila ndege haijatunguliwa hata moja, licha ya Wayahudi kuambia Iran kwamba kichapo kinakuja. Ebu tuweke sawa hapo.
kama hivyo vindege vingegusa anga la iran sasa hivi tungekuwa tunasikia vilio huko israeli kwasababu hakuna ndege ambayo ingerudi vindege vimekaa huko vinapigia kwa mbaali kwa kusikilizia sasa tangu lini fimbo ya mbali iue nyoka
 
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters

Uzi huu utakuwa mwiba mchungu mno Kwa Ile misayuni ya kwetu.

MK254, Moisemusajiografii au nasema uongo?
 
Proxy ipi washatangaza kuondoa jeshi Lebanon wamefanikiwa israhell bure kabisa
Kuondoa jeshi na kuwepo mashambulizi vitu viwili tofauti.

Israel walishambulia Syria, Houthi ya Yemen, Proxies Iran na Iraq bila kuwepo boots on the ground.

Umeelewa?
 
Kuondoa jeshi na kuwepo mashambulizi vitu viwili tofauti.

Israel walishambuliwa Syria, Houthi ya Yemen, Proxies Iran na Iraq bila kuwepo boots on the ground.

Umeelewa?
Na huwez shida vita bila boots kwa grounds mzee israhell imeanza kushambulia Syria Leo au Jana vipi anachokishambulia tokea mwaka 2011 na kabla kafanikiwa
 
1. Vita ni Malengo, Malengo ndio huleta ushindi.
2. Ushindi sio lazima aichukue nchi iwe yake
3. Sio lazima uanze na boots on the ground, anaweza kutimia mashambulizi ya anga kwanza.
4. Inaonekana hujui kinachoendelwa Syria, Wayahudi na wamarekani wanajichotea mafuta kupitia Proxies waliowatengeneza ambao pia wanawatumia kumdhibiti Assad. Hapa ndio tunarudi kwenye namba 1 na namba 2 lengo lilikwua nini. Lakini umesikia Assad akishambilia Israel, hana hiyo nguvu wakati lilikuwa taifa tishio. Wamebaki Proxies tu. Na nchi haitawiliki ndio maana wanajichotea mafuta.
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Ninachoelewa, Israeli ni lazima iidanganye kuwa Iran ina mifumo mizuri ya kujilinda. So, hii ya leo ni hadaa tu. Thats what happened. Ila tuendako ni kubaya zaidi. Waulizeni Wahouth kilichowapata kwa kike kipigo kimoja tu cha Hodaidor port. Tangia hapo hadi leo,wamefanikiwa kutusha drone moja tu, na haikuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom